R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,281
- 5,335
Ushauri wa bure
Kwa sababu shetani yupo katika kazi yake ya kuupoteza uzao wa Adam aende nao katika nyumba ile jehanam.Eidha tubu au endelea kufanya hio dhambi katika siku za maisha yako yote zilizosalia.
Unaambiwa licha ya maisha kuwa magumu lakini mshahara wa dhambi ni ule ule tu haujabadilika. Jitahidi kushindana na nafsi yako ushinde hivyo vishawishi ili uishi kwa amani na upendo na mume wako.