elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
kuna watu walikuwa wanauliza kuhusu wapi wanaweza pata scholarships. Nami nikaahadi kuwa ntawaletea page yenye scholarships mbalimbali zikiwemo ambazo ni mahususi kwa tanzania. Kutokana na ufinyu wa muda nimeweka baadhi lakini muda utakavyozidi kwenda ntapost nyingine zaidi na maelezo zaidi. Kuona hizo scholarshipi bonyeza www.scholarshipshare.webs.com