Hata hao wanaotembeza sufuria mtaani ni binadamu pia, usimdharau mtu hata siku moja. Unaweza ukawa unaringa na kazi yako, lakini kuna mambo yanayobadilisha uelekeo wa maisha yakakukuta. Pole kwa mawazo finyu!hiyo itakuwa kazi kutembeza sufuria mtaani ndo maana anafanya siri
Hata hao wanaotembeza sufuria mtaani ni binadamu pia, usimdharau mtu hata siku moja. Unaweza ukawa unaringa na kazi yako, lakini kuna mambo yanayobadilisha uelekeo wa maisha yakakukuta. Pole kwa mawazo finyu!
Mkuu, hata kuandika 'hello' kwenye PM inatosha. Hii inasaidia kujua walio serious, maana ukiweka kila kitu hapa watajitokeza wenye kazi zao na kuanza kutoa comments za kuwakatisha tamaa vijana. Nafasi bado zipo wazi, tuwasiliane kwenye PM.Waku'PM!! Jamani acheni ku'take advantage kwa kupitia shida za watu.
Nawashukuru wote waliojitokeza na wote walio-PM nimewapa maelekezo kuhusu utaratibu. Nafasi ya kuapply bado ipo wazi!