Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

stineriga

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
2,172
886
NAFASI ZA KAZI

Posts: 2

-Elimu kuanzia form four

-Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz

-Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza

-Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz

-Location ya kazi ni Dar es salaam

-Jinsia ya kiume tu

-Umri 18-35

-Uwe mwaminifu, msikivu na mchapakazi

-Majukumu kushea contents kwenye social media

-Uwe na speed mikononi kwenye kutumia computer (kama huna speed usiombe plz)

-Mshahara kuanzia laki na nusu

-Kulala kwa boss sio ya kwenda na kurudi (kama huwezi hiki kipengele usiombe)
.
-Kula (Maelewano)

-Wa mkoani mnaruhusiwa ku apply(utakuja na nauli yako)

-Interview itakua ni ya vitendo

-Uwe tayari kuanza kazi mara moja

-Maelekezo
Tuma wasifu wako kwa njia ya whatsapp
+255743542046

-Usipige simu plz
Karibuni
 
Samaleko!
 
Kwa mshahara uwo utakiwi kutafuta watu wenye vyeti.labda awe shemeji yako atakuja kufanya iyo kazi hata bure ila sio kwa iyo 150000
 
NAFASI ZA KAZI

Posts: 2

-Elimu kuanzia form four

-Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz

-Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza

-Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz

-Location ya kazi ni Dar es salaam

-Jinsia ya kiume tu

-Umri 18-35

-Uwe mwaminifu, msikivu na mchapakazi

-Majukumu kushea contents kwenye social media

-Uwe na speed mikononi kwenye kutumia computer (kama huna speed usiombe plz)

-Mshahara kuanzia laki na nusu

-Kulala kwa boss sio ya kwenda na kurudi (kama huwezi hiki kipengele usiombe)
.
-Kula (Maelewano)

-Wa mkoani mnaruhusiwa ku apply(utakuja na nauli yako)

-Interview itakua ni ya vitendo

-Uwe tayari kuanza kazi mara moja

-Maelekezo
Tuma wasifu wako kwa njia ya whatsapp
+255743542046

-Usipige simu plz
Karibuni
Hahaha yaan bro full lock lock kila sentensi 2 kumbe unamlipa mtu 150 anyway hela ni hela kwa vile umetukataa haya tafuta hao hao
 
Yani lazima alale kwa bosi wake? Acheni mambo yenu. Muajiri ndugu yako ambaye mnakaa wote au mtoto wa shangazi yako.
 
Back
Top Bottom