Nafasi za kazi kwa Form Four-leavers zinapatikana

Habari ndugu....je naeza pata maelezo zaidi juu ya hao form four qualifications job?ni job zipi na which location of dar es salaam.

thanx

mimi ninavyofahaam mkuu elimu ya form kwa dar unaweza kupata kazi zifuatazo
1.bank teller
2.bank customer care
3.messenger
4.customer care kwenye mitandao
5.store keeper kwenye procument companies

sasa inategemea ww unataka ipi
 
Wanahitajika vijana waliomaliza shule ktk kiwango cha elimu ya sekondari, i.e minimum Form Four. Muombaji lazima awe mkazi wa jijini Dar es Salaam. Kwa aliye tayari anitumie private message (PM) humu JF ili tupeane maelekezo zaidi.

Agriiiiii..*"!,¥,*"# Toa taarifa kamili siyo matu akuPM unajua kazi ya PM wewe?!!
 
Wanahitajika vijana waliomaliza shule ktk kiwango cha elimu ya sekondari, i.e minimum Form Four. Muombaji lazima awe mkazi wa jijini Dar es Salaam. Kwa aliye tayari anitumie private message (PM) humu JF ili tupeane maelekezo zaidi.
me nipo tayari niambie mpango mzimaaa
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom