Nafasi za kufundisha Shule ya msingi English medium

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,961
3,592
Wanahitajika walimu wawili wenye uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo:

1. Mwalimu wa somo la kiswahili mwenye uwezo wa kufundisha darasa la 3 mpaka la 7
Sifa: awe na diploma au degree, mwenye uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza.

Uzoefu hata wa mwaka mmoja kama umewahi kufundisha darasa la saba njoo na kopi ya matokeo yako.

2. Mwalimu wa kufundisha Nursery.
Sifa: ngazi ya cheti mpaka shahada, awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza.

Shule iko Kivule, Ilala jijini Dar es salaam ukiwa unatokea Banana unashuka kituo kinaitwa njia panda ya misitu inaitwa Faraja Islamic School.

Shule ni ya maadili ya kiislamu kwa malezi na tabia hivyo nasisitiza muombaji awe muislamu ili kuepusha migongano ya itikadi.

Usaili utafanyika siku ya Alhamis tarehe 22/12/2022 kuanzia saa2:00 asubuhi mpaka saa6:00 mchana.

Uje na documents zako zote ukiwa kamili.

Mawasiliano : 0683992623
+255652724928
+255688016569
 
Mfano: Alikua akiitwa Edward na ndilo jina kwenye vyeti vyake vya masomo lakon Ali silim na kuitwa said though jina Hilo haliko kwenye vyeti mtapokea maombi yake?
 
Back
Top Bottom