24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,624
- 5,947
mkasome uganda nafasi mnayoNa wale tuliomaliza diploma tukiwa na ufaulu wa chini ya 3.5 G.P.A tumewekwa fungu gani??
mkasome uganda nafasi mnayoNa wale tuliomaliza diploma tukiwa na ufaulu wa chini ya 3.5 G.P.A tumewekwa fungu gani??
Mkuu hujaona vyuo vya serikali mfano ,musoma Cotc,maswa Cotc etc ? Wenyewe bado kutoa ? Mpaka lini ?oK asante. Nimeangalia vyuo vyote almost all ni private with certificate training of which is not my priority.
Vyuo ambavyo vimetoa nafasi vay kujaza viko kwenye website yao. Just go there all is out!Mkuu hujaona vyuo vya serikali mfano ,musoma Cotc,maswa Cotc etc ? Wenyewe bado kutoa ? Mpaka lini ?
Chuo gan?mkasome uganda nafasi mnayo
Aprilmsaada jamani eti nacte kuna uwezekano wa kuongeza vyuo vya afya na kama wasipo ongeza je ni lini watafungua tena pamoja na ongezeko la vyuo vya afya
victoria university,cavendish university,kampala university,.......Chuo gan?
Anasoma kozi gani ? Yupo mwaka wa ngapi ? Lete taarifa kamiliWakuu Kuna mdogo wangu anataka abadilishe chuo asomee computer science mnaweza npe info nikamchekie maana sisi wengine hatujasoma vyuoni kabisa so process hatuelew
Anasoma IT ni diploma mwaka wa kwanza kabisa hawa wa juzi juzi tuAnasoma kozi gani ? Yupo mwaka wa ngapi ? Lete taarifa kamili
Anataka asome kozi gani mkuu ?Anasoma IT ni diploma mwaka wa kwanza kabisa hawa wa juzi juzi tu
Computer science either pale NIT au ucademyAnataka asome kozi gani mkuu ?
Asubiri tu ataaply upya mwezi April haina shidaComputer science either pale NIT au ucademy
Ahh ok kumbe ni mwez wa nne sawa.Shukrani sana mkuuAsubiri tu ataaply upya mwezi April haina shida
Yaap ndoo watatoa kuapply wale wanaotakiwa kuingia intake ya mwezi October or SeptemberAhh ok kumbe ni mwez wa nne sawa.Shukrani sana mkuu
OK ahsante sana mkuu ngoja nimhangaikie maana anaonekana Na mapenz kweli Na CSYaap ndoo watatoa kuapply wale wanaotakiwa kuingia intake ya mwezi October or September
Ufaulu wako ni UPI ?Msaada tafadhali,aliyehitimu form four 2009 anaweza kuaply afya mwaka huu,form six 2012.