24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,624
- 5,947
nafikiri umeona ma it walivopita jf na kuona malalamiko yako na yamejibiwa kabla ya tarehe 23Leo 23/01/2017 nacte walisema watafungua dirisha la udahili kwa ngazi ya cheti na diploma mpaka sasa hivi kwenye website yao hakuna jipya matangazo ni ya mwaka Jana tu na hata guide book hawajatoa ya mwaka wa masomo huu 2017/18 .
Nacte msitufanye sisi hatuna akili hii taasisi ina ubabaishaji sana.