Nachukia watu wanaodharau elimu ya mtu kisa elimu yao kubwa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,815
32,193
Huwa nakeleka sana na aina hii ya watu mtu et kisa ana kidegree kimoja na kivile huko nyuma alipata one basi wengine wote ambao walipata degree kwa kuunga unga anawaona wajinga acheni ufala na upumbavu wa akili

Naludia tena acheni ufala na upambuvu wa akili naomba nijue leo kipomo cha kumtambua mtu huyu ni kilaza ni kipi? Maana naona ata hao wenye mnajidai hapa ni filaza vile vile

Hii dharau ishanikuta ofisini mara mbili ya kwaza ilikuwa kipindi cha corona walati na maliza shift yangu jioni na mpa report dr na kumuelekeza akanijia juu et ww unanielekeza nini mimi mimi nina elimu kubwa kuliko yako nusu nipigane sema boss wangu akanituliza akasema nimuache

Nyingine kipindi nipo OPD nilijitambulisha nikasema mimi nina diploma ni msaidizi wa …. Boss akamuuliza jirani yangu na wewe ni diploma akasema ww unanionaje mimi siwezi kuwa na diploma nimesoma sana walimjibu maboss mimi sikuangaika kumjibu mimi huwa na mjibu mtu kwenyw utendaji wangu wa kazi tu

Ila sio siri ninyi wenye videgree acheni dharau za kishezi tena huo ni ulofa na upumbavu msomi alie soma akaelewa hawezi kumkashifu mtu yoyote

Na humu kuna watu madharau watu et kisa wana elimu ndogo wewe elimu yako kubwa imekufikisha kibo? Au umefika kwenye kiinincha dunia ndio maana nasemaga wenye degree wengi ni washamba na malimbukeni na hawajitambui na hawajui how to translate informantion na hawajui kabisa kucope na situationi ni malofa walio pindukia
 
Ulikuwa unampa maelekezo chief wako?

Hakuwa chief wala nini ni dr wakawaida tu ambapo wote tulikutana kwenye timu mimi nilikuwa upande wa psy na alitakiwa kuchukua kwangu taarifa kwasbabu form ilikuwa hawezi kujaza yeye kama mimi sijajaza
 
Binafsi sina tatizo na Elimu ya mtu ninacho angalia ni Elimu yake inasaidia nini kutatua changamoto au kuongeza uzalishaji katika shirika mengine yote ni mbwe mbwe tu

Kwanza ujue Msomi mwenye akili ya kudharau watu makazini kwa Elimu yao, ni mjinga kabisa. Kila mtu ni muhimu sana kwa nafasi yake; hawezi kukaa hapo ofisini bila mtu wa kusafisha choo, Mlinzi wa getini/usiku,, mtu wa kupika chakula, usafi nk nk......
 
Wengine Huwa ni inferiority complex tu inawasumbua hasa ukimzidi utendaji, wengine Sasa ni pride au unakuta ego ndo inawafanya wanakuwa hivyo, bongo watu wenye elimu hiyo inayoitwa kubwa wengi hawajiamini kabisa kwahiyo anajihisi insecurity akikutana na watu kazini wanaojiamini kwahiyo njia pekee kujiweka secure ni kufanya hivyo in such ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa...
 
Wengine Huwa ni inferiority complex tu inawasumbua hasa ukimzidi utendwaji, wengine Sasa ni pride au unakuta ego ndo inawafanya wanakuwa hivyo, bongo watu wenyew elimu hiyo inayoitwa kubwa wengi hawajiamini kabisa kwahiyo anajihisi insecurity akikutana na watu kazini wanaojiamini kwahiyo njia pekee kujiweka secure ni kufanya hivyo in such ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa...
Na hapo ina onyesha wazi kuwa hajasoma bali alikalili
 
Back
Top Bottom