Nachukia watu wanaodharau elimu ya mtu kisa elimu yao kubwa

Ungepuuza tu halafu utendaji wako ndo ungepigana naye.
Hakuna pigo zuri kwa adui wa aina hii kama pigo la kukutazama ukifanikiwa katika utendaji wako na kukua.
Now siongei sana nikiongea kwenye kikao tu na hao wenye master zao washaniona na kielele na mjuaji sana soon natolewa pale EMD
 
Hakuwa chief wala nini ni dr wakawaida tu ambapo wote tulikutana kwenye timu mimi nilikuwa upande wa psy na alitakiwa kuchukua kwangu taarifa kwasbabu form ilikuwa hawezi kujaza yeye kama mimi sijajaza
wewe una diploma, yeye ana degree huyo ni chief wako automatically....kubali tu utofauti ama rudi shule uitafute hiyo degree na wewe..
 
wewe una diploma, yeye ana degree huyo ni chief wako automatically....kubali tu utofauti ama rudi shule uitafute hiyo degree na wewe..

Sija itaka tu nikitaka nitaenda kwa muda wangu ila nachomaanisha hapa mtu heshimu utu wa mtu
 
Ukitaka uishi happy life just be yourself, ni kweli kua aliyekuzidi elimu ndio amekuzidi … la msingi kama ni kazini angalia how to benefit kwa maarifa kutoka kwake (kama unataka kujifunza etc) ila huwezi kubadili ukweli! Kila mtu ana deserve heshima yake kutokana na nafasi yake.

Ila ukumbuke tu elimu inapozidi kuongezeka especially kwa watu weusi sisi kuna hali ya “feeling superior” so ishi maisha yako tu! Otherwise nenda shule uwe juu zaidi.
 
Nani alikwambia usisome form 4 ugonge one au two au three iliyobalansi ukaenda advance ukapagonga tena kwa prinsipo hata za mchongo ukatimba vaste moja kwa moja!

Huko afya vico na nesi huwa mnatunisha misuli kwa MD, nyambafu zenu.

kwa kada yangu ualimu ndo usiseme, digri za kikuda na elimu za kuunga unga zimetamalaki. mtu ana pamphleti la vyeti hadi anabebea tranka! vya f4 anavyo 6 vimejaa f na d moja na tu c kamoja kila cheti.

cha grade a anafurukuta anapata credit,

anapga private candidate cha 6 mara 3 ndo anapata E ya kisw na s ya hist huyoo anaenda butimba ana lamba gpa ya 3 anazama makumira au jordan huko ana make maajabu ya gpa ya 4.8.

Hapo anathamin transcript ya mchngo tu.

#kataa vilaza, hawana tofauti na mzoga wa fisi.
 
Huwa nakeleka sana na aina hii ya watu mtu et kisa ana kidegree kimoja na kivile huko nyuma alipata one basi wengine wote ambao walipata degree kwa kuunga unga anawaona wajinga acheni ufala na upumbavu wa akili

Naludia tena acheni ufala na upambuvu wa akili naomba nijue leo kipomo cha kumtambua mtu huyu ni kilaza ni kipi? Maana naona ata hao wenye mnajidai hapa ni filaza vile vile

Hii dharau ishanikuta ofisini mara mbili ya kwaza ilikuwa kipindi cha corona walati na maliza shift yangu jioni na mpa report dr na kumuelekeza akanijia juu et ww unanielekeza nini mimi mimi nina elimu kubwa kuliko yako nusu nipigane sema boss wangu akanituliza akasema nimuache

Nyingine kipindi nipo OPD nilijitambulisha nikasema mimi nina diploma ni msaidizi wa …. Boss akamuuliza jirani yangu na wewe ni diploma akasema ww unanionaje mimi siwezi kuwa na diploma nimesoma sana walimjibu maboss mimi sikuangaika kumjibu mimi huwa na mjibu mtu kwenyw utendaji wangu wa kazi tu

Ila sio siri ninyi wenye videgree acheni dharau za kishezi tena huo ni ulofa na upumbavu msomi alie soma akaelewa hawezi kumkashifu mtu yoyote

Na humu kuna watu madharau watu et kisa wana elimu ndogo wewe elimu yako kubwa imekufikisha kibo? Au umefika kwenye kiinincha dunia ndio maana nasemaga wenye degree wengi ni washamba na malimbukeni na hawajitambui na hawajui how to translate informantion na hawajui kabisa kucope na situationi ni malofa walio pindukia
Nenda shule watakuheshimu.
 
Nani alikwambia usisome form 4 ugonge one au two au three iliyobalansi ukaenda advance ukapagonga tena kwa prinsipo hata za mchongo ukatimba vaste moja kwa moja!

Huko afya vico na nesi huwa mnatunisha misuli kwa MD, nyambafu zenu.

kwa kada yangu ualimu ndo usiseme, digri za kikuda na elimu za kuunga unga zimetamalaki. mtu ana pamphleti la vyeti hadi anabebea tranka! vya f4 anavyo 6 vimejaa f na d moja na tu c kamoja kila cheti.

cha grade a anafurukuta anapata credit,

anapga private candidate cha 6 mara 3 ndo anapata E ya kisw na s ya hist huyoo anaenda butimba ana lamba gpa ya 3 anazama makumira au jordan huko ana make maajabu ya gpa ya 4.8.

Hapo anathamin transcript ya mchngo tu.

#kataa vilaza, hawana tofauti na mzoga wa fisi.
Umejiona ulivyo rofa na mpumbavu ulie ishiwa maarfa
 
Back
Top Bottom