Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,337
- 7,547
Nakazia mkuu.Kwa thread hii inatosha kuonyesha kwa nini wanakudharau.
Yani mtoa mada alipoanza kutukana tu nikathibitisha bila kuacha shaka kwamba anastahili kudharaulika.
Amejawa na 'inferiority complex' ya hali ya juu ambayo akiendelea kuiendekeza basi soon atapata presha ya kushuka ambayo haitamuacha salama.
Anasahau kwamba kimfaacho mtu chake. Wakimdharau haimpunguzii kitu, kwanza ni kwanini ajali at first place?
Bado tuna miaka mingi sana ya kuifikia Tanzania ya asali na maziwa kwa wote.