Na Hii Nayo Haramu Kula?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,099
dsc03836.jpg
 
hebu jaribu kufanya biashara yake Somalia au Jos Nigeria.....ndo utajua........
 
Subiri nimwite ustaadh atoe fat-wa

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Kwani hapo tatizo ni picha au contents? Kama vitafunwa hivyo vimetengezwa kwa vitu halali ni ruksa kula tena bila kutia shaka.Picha ya nguruwe haiwezi kuwa machukizo hivyo iwapo aliyemuumba ni yule yule Subhanna. Ingekuwa picha ni haramu basi watu wasingetembea kwenye miji yetu ambapo wasanii wetu mbwa wanatembea nusu uchi.
 
ukifungua uwo mgahawa tunduru lazima wachome ilo jengo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuruka ruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake.Unadhani wakati gari hilo linapita na hakuna usafiri mwingine watapanda nini?
Hizo sijui ni mikate au nini lakini najua wanakula kama kawaida
 
Natamani Halua na Tende nazo zingekua moulded kama hio kitu, sipati picha
 
Back
Top Bottom