Kuna tofauti gani Kati ya Mkimbizi na Mhamiaji haramu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,168
142,304
Ningependa kuelimishwa tofauti ya Mkimbizi na Mhamiaji haramu

Hii haihusiani na angalizo la CDF bali mahitaji kuelimishwa tu

Mungu wa Mbinguni awabariki
 
Mkimbizi ni mtu alieondoka nchini kwake na kwenda nchi ingine kwa ajili ya hofu au matatizo ya usalama kama vita au majanga kama njaa n.k Hawa wafikapo nchi walioenda husajiliwa na kuwekwa kwenye makazi ya muda au makambi.

Mhamiaji haramu ni mtu alieingia nchi ingine bila kufata taratibu za uhamiaji za nchi aliokwenda hawa zaidi hufata fursa za kiuchumi au kujihusisha na shughuli zisizo za kisheria
 
Mhamiaji haram anaweza kuingia Kwa kufuata utaratibu, ila ukiover stay tu tayari wewe ni illegal immigrant.
 
Back
Top Bottom