Na CUF TUJIPIME CDM SQUARE Ijumaa Ijayo

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Nawapokeza CCM kwa operesheni JAZA WATU JANGWANI kwani imefaulu kwa kiwango kikubwa. Sasa ni wakati wetu sisi CUF kudhihirisha nguvu ya haki tuliyonayo. Si kama ile ya mafuso ni zaidi ya ile ya wapinzani wetu CDM. Upo wapi Maalim, Lipumba, Jussa, Mtatiro...?
 
Sijui kwa nini nimecheka ghafla.....
 
Nawapokeza CCM kwa operesheni JAZA WATU JANGWANI kwani imefaulu kwa kiwango kikubwa. Sasa ni wakati wetu sisi CUF kudhihirisha nguvu ya haki tuliyonayo. Si kama ile ya mafuso ni zaidi ya ile ya wapinzani wetu CDM. Upo wapi Maalim, Lipumba, Jussa, Mtatiro...?

Mkuu si tayari mlifanya zenji na kuchoma makanisa au?
 
Mabwana zenu waliwaleta mawaziri uchwara kurudia ahadi badala ya kusema utekelezaji nyie nasikia mtamleta lile KUNDI LA UAMSHO kueleza utekelezaji wa uchomaji makanisa BOKO HARAMU watakuwa wageni waalikwa.
 
cuf tangia tugalagazwe na wapinzani wetu igunga roho iliniuma sana. ndo maana hata Arumeru hatukuweka mgombea ili kuficha aibu. hatuna uwezo wa kucord mafuso but tujikusanye baada ya swala ya ijumaa nasi tuujaze uwanja wa chadema. ole wao polisi wazue maandamano yetu.
haki sawa? asipenda haki? jino kwa jino? asanteni sana. Mia
 
watafutane UAMSHO waje kwa wingi hapo na pia muwalete na ccm maana nyie wote ni chama kimoja
 
Head teacher nisingekustukia leo kabla sijapata ban CUF wangeniloga.
 
Back
Top Bottom