Nyetk
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,648
- 1,696
Kenge na mamba wote ni mijusi tu.Usituchangenye na UAMSHO..!
Kenge na mamba wote ni mijusi tu.Usituchangenye na UAMSHO..!
Head teacher nisingekustukia leo kabla sijapata ban CUF wangeniloga.
Baada ya kupata kura 200 Uzini, nyuma ya CDM kwa kweli tumenyong'onyea na hatuna hamu ya kushindana nao. Siku hizi tupo bize na kuchoma moto makanisa
Sijui kwa nini nimecheka ghafla.....