TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,912
- 11,308
Wanaogoma ni madaktari uchwara tu, huyo mchungaji anawaambia ukweli.
kweli, kabisa... madaktari wa ukweli ni kama JJ, mama nagu nk
si kosa lako.... senile dementia imefika
Wanaogoma ni madaktari uchwara tu, huyo mchungaji anawaambia ukweli.
kwa vile watumishi wengine wana mishahara midogo ndo wasidai haki zao,wengine kama waoga shauri zao,huyu mkusanya sadaka ana muafaka na magamba siku hizi
hana tofauti na kibonde mzembe wa mwisho kabisa.
Me idea yangu ilikuwa ni hii. unapotaka kudai haki nenda ukiwa na mikono safi.. haijalishi madaktari wanakosea au laa lakini kwa uchafu alonao mzee wa upako hana nguvu za kuwanyoshea vidole madaktari .. ni mtazamo tuu.
Wanaogoma ni madaktari uchwara tu, huyo mchungaji anawaambia ukweli.
Hivi hawa madaktari si wanakula kiapo hawa! Au kiapo chao hakiwaruhusu kufanya kazi ktk hali ngumu? Me nadhani taaluma ya udaktari imeingiliwa na mambo ya kisiasa, na hii ni hatari kwa taifa! Hebu tuangalie mfano huu, "ghafla tu kumetokea ugonjwa wa mlipuko na makamanda kadhaa wamekumbwa na huo ugonjwa! (nawakusudia viongozi wa upinzani wanaopigana kuikomboa nchi kutoka....) wakati huo madaktari wako ktk mgomo", je hali hapo itakuwaje? Hamuoni kama tunafanya jokes kwenye mambo ya msingi?
............ anauza "sabuni za upako" .............. Kuna Tsh 3,000/= Tsh 5,000/= na Tsh 10,000/=. zinasaidia kufukuza pepo, kuponya magonjwa na kuongeza baraka ! (the living Sheikh Yahaya )Makanisa mengi siku hizi yanahubiri utoaji wa sadaka wengine wakienda mbali zaidi kwa kuhimiza wahumi watoe sadaka za noti na si koini(wakilenga minimum sadaka itakuwa 500/=) lakini wanashindwa kuangalia hali ya uchumi wa jamii husika kupanda na kushuka kwa uchumi wao hawaelewi kuwa utawala wa kidunia unahusika vipi, hivo lusekelo kusema hivo simshangai kabisa hawezi kuunganisha matukio na kugusa chanzo cha ugonjwa badala yake anataka kutibu dalili. Hawa ndo wanaokemea magonjwa ya minyoo badala ya kufundisha elimu ya afya. Jamani swala la kiroho lishugulikiwe kiroho na la kimwili litatuliwe kimwili. Hili la madaktari ni la kimwili halitatuki kwa upako
Same same Shi.t over and over!!!Wanaogoma ni madaktari uchwara tu, huyo mchungaji anawaambia ukweli.
:alien::alien::alien:Hivi hawa madaktari si wanakula kiapo hawa! Au kiapo chao hakiwaruhusu kufanya kazi ktk hali ngumu? Me nadhani taaluma ya udaktari imeingiliwa na mambo ya kisiasa, na hii ni hatari kwa taifa! Hebu tuangalie mfano huu, "ghafla tu kumetokea ugonjwa wa mlipuko na makamanda kadhaa wamekumbwa na huo ugonjwa! (nawakusudia viongozi wa upinzani wanaopigana kuikomboa nchi kutoka....) wakati huo madaktari wako ktk mgomo", je hali hapo itakuwaje? Hamuoni kama tunafanya jokes kwenye mambo ya msingi?
..Wewe hebu wacha ujinga bana ! kwani hukuona wengine wakila viapo ? au vyakwao ni vya kufanya ufisadi ?Hivi hawa madaktari si wanakula kiapo hawa! Au kiapo chao hakiwaruhusu kufanya kazi ktk hali ngumu? Me nadhani taaluma ya udaktari imeingiliwa na mambo ya kisiasa, na hii ni hatari kwa taifa! Hebu tuangalie mfano huu, "ghafla tu kumetokea ugonjwa wa mlipuko na makamanda kadhaa wamekumbwa na huo ugonjwa! (nawakusudia viongozi wa upinzani wanaopigana kuikomboa nchi kutoka....) wakati huo madaktari wako ktk mgomo", je hali hapo itakuwaje? Hamuoni kama tunafanya jokes kwenye mambo ya msingi?
Na wewe uko wrong 100% :yawn:Kwa hili yupo sahihi 100%.