Salaam, Shalom!!
Baada ya Pope wa Katoliki kuwadissapoint waumini, Mzee wa Upako,kama anavyojiita, Tingatinga, ametoka hadharani na kuhalalisha pombe Kwa waumini wake.
Ameongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza POMBE,Wala KULEWA, Bali Biblia imekataza ULEVI.š³š³ Amejiumaumaaa.....
Amedai kuwa pombe haijakatazwa kwenye BIBLIA, uliokatazwa ni ulevi, ndo sababu ulevi wa pombe ukazuiwa.
Kwa mliokuwa mnajiuliza mara mbili ikiwa Anto Lusekelo ni Nabii wa uongo au la, uamuzi ni wenu sababu naye ameonyesha RANGI zake halisi tena madhabahuni.
Ni suala la muda tu, manabii matapeli wote, watakiri hadharani kuwa wao Si watumishi wa Mungu, Bali matapeli.
(Yoshua 1:8 )na (Zaburi 1:2) inatutaka kulitafakari SHERIA ya BWANA Mungu Mchana na usiku.
(Waefeso 5:18) Msilewe Kwa mvinyo maana mna ufisadi, Bali mjazwe Roho.
(1 Korinthians 6:9-11) says Mtu asiwadanganye, Bali waongo ,wazinzi ,WALEVI hawataurithi ufalme wa Mungu.
Source: Upako wa Mzee Tv
Karibuniš