MZEE WA UPAKO: daktari anayegoma ni sawa na muuaji wa albino

Watu wanasema pafu moja la bangi linakaa kichwani mwa mtumiaji kwa miaka saba. Hivi miaka saba ishapita toka jamaa ajiite mchungaji? Na alikwisha kuvuta pafu ngapi maana alikuwa mstari wa mbele kwa wale wapulizaji?
.
 
kwa vile watumishi wengine wana mishahara midogo ndo wasidai haki zao,wengine kama waoga shauri zao,huyu mkusanya sadaka ana muafaka na magamba siku hizi
 
Mchungaji uko sahihi. Hawa Madaktari ni wauaji zaidi wauaji wa Albino kwani uongo? Nawashangaa sana wanaunga mkono Madaktari hao kugoma.
Your government is busy doing this!!!!
8002055tb6e.gif

Let the doctors do the same to aLL OF US SO THAT WE CAN GET OUR *SSES UP AND SAY NO TO ALL THE SHIT THIS GOVERNMENT IS PUTTING INTO US!!!
 
Huyu naye aulizwe vizuri atueleze alipopata nguvu ya uponyaji na nini anawafanyia waumini wake!

Kuna watu wanatumia masaburi kufikiria kiasi cha kujitafutia matatizo...Wanawezaje kuanza kuwarushia mawe wenye nyumba za vioo wakati wao wanaishi kwenye nyumba za zilizotengenezwa kwa mifuko ya rambo?

Babu DC!!
 
Mchungaji uko sahihi. Hawa Madaktari ni wauaji zaidi wauaji wa Albino kwani uongo? Nawashangaa sana wanaunga mkono Madaktari hao kugoma.

Hili jambo sio la kishabiki na inaweza kuwa ni mtazamo tu.. hoja yangu hapa ilikuwa ni kutaka kulimganisha anayofanya yeye yanalinganishwa na nani? hivi kumshawishi mtu ambaye ni masikini kutoa sadaka na wewe kuneemeka sio uuaji ni nini na kama ndo hvo anatofautiana nini na hao madaktari anaowashutumu?
 
Hivi huyu mchungaji anafikiria vizuri weli?
Makanisa mengi siku hizi yanahubiri utoaji wa sadaka wengine wakienda mbali zaidi kwa kuhimiza wahumi watoe sadaka za noti na si koini(wakilenga minimum sadaka itakuwa 500/=) lakini wanashindwa kuangalia hali ya uchumi wa jamii husika kupanda na kushuka kwa uchumi wao hawaelewi kuwa utawala wa kidunia unahusika vipi, hivo lusekelo kusema hivo simshangai kabisa hawezi kuunganisha matukio na kugusa chanzo cha ugonjwa badala yake anataka kutibu dalili. Hawa ndo wanaokemea magonjwa ya minyoo badala ya kufundisha elimu ya afya. Jamani swala la kiroho lishugulikiwe kiroho na la kimwili litatuliwe kimwili. Hili la madaktari ni la kimwili halitatuki kwa upako
 
Kwa hili yupo sahihi 100%.

Me idea yangu ilikuwa ni hii. unapotaka kudai haki nenda ukiwa na mikono safi.. haijalishi madaktari wanakosea au laa lakini kwa uchafu alonao mzee wa upako hana nguvu za kuwanyoshea vidole madaktari .. ni mtazamo tuu.
 
Mchungaji uko sahihi. Hawa Madaktari ni wauaji zaidi wauaji wa Albino kwani uongo? Nawashangaa sana wanaunga mkono Madaktari hao kugoma.

Si uvae koti ukatibu wagonjwa na wewe? Madaktari ndio unaona wauwaji lakni serikali yako ya Magamba huoni kuwa ni wauwaji.
 
Waumini wanakufa njaa kukuletea hela uendeshe hammer. Wewe ndiye muuaji kamili nabii...,go
 
Mchungaji uko sahihi. Hawa Madaktari ni wauaji zaidi wauaji wa Albino kwani uongo? Nawashangaa sana wanaunga mkono Madaktari hao kugoma.

keshakulisha kirusi cha kukupumbaza huyu mchungaji wako wa kichina..... yeye mbona anatembelea RANGE ROVER SPORTS ,,,, wakati ana waumini mafukara kibao..
 
Back
Top Bottom