johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,039
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema hapa Duniani Waarabu ni wale wa Saudi Arabia Peke yake
Hawa wengine Iraq, Palestine, Yemen, Syria, Egypt, Libya Oman, Iran nk siyo Waarabu ni Masalia ya makabila ya Kale kama Wafilisti, Wakurdi nk
Mzee wa Upako amesema Wayahudi na Waarabu ni ndugu hata Mtume Muhammad SAW alikwenda Yerusalemu ndipo akapaishwa mbinguni kupewa hizi swala 5 ambazo kimsingi zilikuwa 50
Source: Mzee wa Upako TV