Mzee wa upako aiita serikali na CCM 'washenzi'

Huyu bwana si ndo aliyewazuia waumini wake kutoenda kuiga kura km vile yeye sio mzalendo wa taifa hili.....kumbe dhamira yake ilikuwa sadaka kwanza ila kuchagua viongozi bora baadae......hii nchi unafiki hautakuja kuisha........binafsi naona huyu mzee waupako angekuwa wa kwanza kuwekwa ndani kwa kuwa mnafiki yaaani kuwazuia waumini wake kupiga kura aloafu kulalamikia viongozi legheleghe km kikwete waliopo......
Mzeee wa kupaka nae...kwani yeye ni mchawi?........
 
mkuu kama ni k weli basi naamini binadam anabadilika,huyu mzee wa upako alikuwa supporte mzuri ma magamba,sasa inakuwaje??una uhakika na hayo maneno kwamba yalitamkwa na yeye?
..Sio lazima unaweza kuwa ni supporter mzuri wa Magamba lakini kama unawaona wanacheza tokomile kwenye kazi unawachana tu ili wajirekebishe...Safi sana iwe kweli au si kweli...Na mfano aliutoa ni sawa kabisa nchi imekuwa kama jimama papa halina mwenyewe kila mtu analibanjua apendavyo...
 
Back
Top Bottom