Mzee wa upako aiita serikali na CCM 'washenzi'

mkuu kama ni k weli basi naamini binadam anabadilika,huyu mzee wa upako alikuwa supporte mzuri ma magamba,sasa inakuwaje??una uhakika na hayo maneno kwamba yalitamkwa na yeye?

director ndugu yangu we haujuagi!?,iki chama cha magamba ni pepo,sasa huyo mzee wa upako hilo pepo limemtoka hivyo faham zimemrejea.Na wapo wengi tu watafuata kwani hata wale-waliotwambia zama-zile kwamba huyo msafiri aka vasco dagama kuwa ni chaguo la God b'shaka wanazijutia nafsi zao.Kudhibitisha kwamba CCM ni pepo chafu,we angalia sehem zote walizopata kula nyingi ktk uchaguzi mkuu 2010,SINGIDA,MTWARA,LINDI,TANGA,TABORA nizitaje kwa uchache pamoja na sehem nyingine zaote ambazo hazina maendeleo,huko kweli walikuwa na sababu ya kuipa kula ata moja CCM?!,Sasa ndo ujue kuwa wapigakula wa maeneo hayo bado wamekaliwa na hilo jinamizi aka pepo chafu,limewafunika magamba kuanzia kwenye akili hadi kwenye macho.Ebu tusubiri hao wa Igunga labda faham zinaweza kuwarejea kama mzee wa upako na kujikomboa kutoka ktk minyororo ya utumwa wa CCM...ujumbe wangu kwa wapiga kula wa Igunga ni "kumbukeni kuwa SHETANI(BEN) ATA-AKIZEEKA KAMWE HAWEZI KUWA MALAIKA NA NYOKA ATA-KIJIVUA GAMBA HAWEZI KUWA SAMAKI...ONDOENI HICHO CHAMA CHA MAGAMBA ILI IGUNGA IPIGE HATUA YA MAENDELEO...OVA!

Mzee bado unaingia makanisa ya hao matapeli? Mchungaji ana gari la mil. 200 halafu kuna waumini wake wanakosa nauli ya kutoka buguruni to ubungo! I think kabla hajawanyoshea kidole ccm ajichek kwanza mwenyewe! Halaf mkuu inaonyesha haupo siriazi na ibada, yaani unajamiiforuming inside the ibada! Huyo mchungaji wako anafikiri kwa kutumia masanilo!!!

umesema anafikiria kwa kutumia nin??

Anasema Nepi ni nguo lakini akivaa mtu mzima si ni kituko? Sasa Tanzania imevaa nepi.
Anasema nchi hii ni kama mwanamke asiye na mwenyewe anayeingiliwa kwa zamu na kila mwanaume[/QUOTE said:

nimeipenda, imekaa kinamna fulani

Mzee bado unaingia makanisa ya hao matapeli? Mchungaji ana gari la mil. 200 halafu kuna waumini wake wanakosa nauli ya kutoka buguruni to ubungo! I think kabla hajawanyoshea kidole ccm ajichek kwanza mwenyewe! Halaf mkuu inaonyesha haupo siriazi na ibada, yaani unajamiiforuming inside the ibada! Huyo mchungaji wako anafikiri kwa kutumia masanilo!!![/QUOTE]

Wekundu huo unanipa shaka na Imani yako,Wewe acha akili za mgando, Kanisa gani ambalo halikuanzishwa na Mwanadamu ? Mzee wa Upako angekuwa MZUNGU ah kwa akili za Viroboto klichwani badala ya Ubongo na hii ngozi nyeusi ungechekelea sana (kama kweli si wa upande ule) Hapa jambo la msingi ni kuangalia Maudhui ya nini alichosema huyo Mtumishi wa MUNGU na si pumba unazotaka wengine tuziamini.

Hiyo Blue ndilo Tatizo la Mswahili, hivi hiyo Range Rover Vogue aliyonayo ina thamani gani ukilinganisha na Utajiri wa Makanisa kama RC,KKKT just to mention few of them.Lakini waumini wa madhehebu hayo Majority ni choka mbaya kuliko Maelezo, Kaangalie Latin America au Philipines kulikojaza idadi kubwa ya Maskini ambao ni waumini wa Madhehebu hayo achilia mbali hapa Bongo star Search wa nani anaongoza kwa umaskini proportionaly kati ya Waumini wa Mzee wa Upako na hao wachache niliowataja.

Hakika sasa naamini Ubongo wako umehama na nafasi yake imechukuliwa na Kamasi

Ni huyu huyu mzee wa upako?
Kama ameya nena hayo na watu wa usalama wakayasikia na kuyafikisha kama yalivyo itakuwa jambo la maana sana!

Ameacha kuheshimu mamlaka!
Mamlaka inayoheshimiwa ni ile ambayo na yenyewe inatimiza wajibu wake kwa raia wake. Kinyume cha hapo ni mamlaka isiyo na uhalali wa kuheshimiwa ambayo hatimaye huchochea uasi.

Nipo live kwenye kanisa la Mzee wa Upako hapa Kibangu, haya ni machache aliyoyasema leo.Alianza kama utani, akikemea tabia ya watznzania kupenda misaada katika kujenga makanisa badala ya kutoa sadaka ili makanisa yajengwe.
Baadae akasema ana mtoto mdogo anaitwa Elshadai ana mwaka mmoja akauliza miaka 30 ijayo ataikuta Tanzania ipo salama?
Mwishowe akasema CCM na Serikalio ni Chama cha washenzi na wamejaa ushenzi. Hatuwezi kuongozwa na wahuni waliojaa viroboto kichwani. Akasema ni kwa nini ndege ya jeshi ije uwanja wa ndege usiku ibebe wanyama alafu kina Pinda wamekaa kwenye nafasi zao bila kuwekwa ndani. Amesema Pinda na serikali nzima wanapaswa kukaa pembeni.
Amesema atawaroga na hawaogopi. Atawaroga kwa sababu CCM na serikali imejaa washenzi, wapumbavu.
Akasema nchi imejaa rushwa na ndio maana watu wa Zanzibar wamekufa. Amesema hata rais kutoa pole ni unafiki tu kwa sababu waliozembea wote walipaswa kuwekwa ndani.
Haogopi mtu na ameshangaa ni kwa nini CCM hiyo hiyo imwite Rostam Gamba, Rostam aachane na siasa uchwara alafu Rostam huyo huyo ampigie debe mgombea Igunga, Rostam ana midomo ningapi? Amesema sisi watanzania tumerogwa na CCM kwakuwa sio wazima.
Anasema hakatai kuna maendeleo lakini maendeleo hayalingani na raslimali. Anasema Nepi ni nguo lakini akivaa mtu mzima si ni kituko? Sasa Tanzania imevaa nepi. Anasema hapigi siasa kwakuwa jambo hilo linagusa maslahi ya watu.
Amewaagiza watu wa usalama wa taifa waliopo kanisani wakawaambie viongozi wao kuwa wasipojirekebisha ndani ya siku saba atawaroga. Amekasirishwa sana na kuuzwa kwa wanyama hai na kuzama kwa meli Zanzibar. Anasema CCM ni chama kilichoiharibu Tanzania.
Nyumba walizouziana za serikali wazirudishe, wasiandike urithi kwa watoto wao. Amewaagiza wanajeshi kuwa anaapa kuwa uamuzi wa kuuza nyumba ulikuwa uamuzi wa kishetani na wajiandae ipo siku zitarudi.
Wakati wote akizungumza hayo watu wote walikuwepo ndani ya kanisa walikuwa wanalipuka kwa kushangiklia. Anasema nchi hii ni kama mwanamke asiye na mwenyewe anayeingiliwa kwa zamu na kila mwanaume
Safi sana, mwaka huu tutaona na kusikia mengi. Mh Lukuvi pamoja na Ndugai waliwai kusema kuwa Mchungaji Msigwa(MB wa Iringa) awe mfano mbele ya macho ya wananchi kama kiongozi wa kiimani. Naamini alichokisema mzee wa upako ndicho walichokitaka kina Lukuvi na Ndugai.Kazi nzuri sana hii.Big up

Kwanini atumie neno kuloga?kuna walakini hapo ila kwavile dunia haina siri iko siku tutajua kila kitu juu yake

kweli watu wanabadilika.khaaaaaaaaaanimerudia kusoma kwa sauti sentensi ya mwisho..imenibidi kuamkamezan na kukoroka kahawa

Nipo live kwenye kanisa la Mzee wa Upako hapa Kibangu, haya ni machache aliyoyasema leo.Alianza kama utani, akikemea tabia ya watznzania kupenda misaada katika kujenga makanisa badala ya kutoa sadaka ili makanisa yajengwe.
Baadae akasema ana mtoto mdogo anaitwa Elshadai ana mwaka mmoja akauliza miaka 30 ijayo ataikuta Tanzania ipo salama?
Mwishowe akasema CCM na Serikalio ni Chama cha washenzi na wamejaa ushenzi. Hatuwezi kuongozwa na wahuni waliojaa viroboto kichwani. Akasema ni kwa nini ndege ya jeshi ije uwanja wa ndege usiku ibebe wanyama alafu kina Pinda wamekaa kwenye nafasi zao bila kuwekwa ndani. Amesema Pinda na serikali nzima wanapaswa kukaa pembeni.
Amesema atawaroga na hawaogopi. Atawaroga kwa sababu CCM na serikali imejaa washenzi, wapumbavu.
Akasema nchi imejaa rushwa na ndio maana watu wa Zanzibar wamekufa. Amesema hata rais kutoa pole ni unafiki tu kwa sababu waliozembea wote walipaswa kuwekwa ndani.
Haogopi mtu na ameshangaa ni kwa nini CCM hiyo hiyo imwite Rostam Gamba, Rostam aachane na siasa uchwara alafu Rostam huyo huyo ampigie debe mgombea Igunga, Rostam ana midomo ningapi? Amesema sisi watanzania tumerogwa na CCM kwakuwa sio wazima.
Anasema hakatai kuna maendeleo lakini maendeleo hayalingani na raslimali. Anasema Nepi ni nguo lakini akivaa mtu mzima si ni kituko? Sasa Tanzania imevaa nepi. Anasema hapigi siasa kwakuwa jambo hilo linagusa maslahi ya watu.
Amewaagiza watu wa usalama wa taifa waliopo kanisani wakawaambie viongozi wao kuwa wasipojirekebisha ndani ya siku saba atawaroga. Amekasirishwa sana na kuuzwa kwa wanyama hai na kuzama kwa meli Zanzibar. Anasema CCM ni chama kilichoiharibu Tanzania.
Nyumba walizouziana za serikali wazirudishe, wasiandike urithi kwa watoto wao. Amewaagiza wanajeshi kuwa anaapa kuwa uamuzi wa kuuza nyumba ulikuwa uamuzi wa kishetani na wajiandae ipo siku zitarudi.
Wakati wote akizungumza hayo watu wote walikuwepo ndani ya kanisa walikuwa wanalipuka kwa kushangiklia. Anasema nchi hii ni kama mwanamke asiye na mwenyewe anayeingiliwa kwa zamu na kila mwanaume

Nami nilishawahi kumsikia akidai "tunapaswa kutii mamlaka zilizowekwa na Mungu" akikosoa Kanisa Katoliki kuikosoa serikali. Leo hii amegeuka, kwani hiyo mamlaka imehama?

kuna maoni nimesoma juu ya wamarekani wanamvyomsema jk....hi ni moja ya maon yao

o Tanzanians are tired of their president. A retarded womanizer, brain dead idiot constantly trotting the world leaving his country in the darkness. His people pray for an African version of Arab spring to topple jokers like him, Museveni and Mugabe. They are disgrace to their countries. Wikileaks revealed how cheap Kikwete is; a whole head of state being bribed 5 suits and $1million. How low? He is accused of being the master of all corruption. Never home attending even the most mediocre meetings his assistants could attend. They have even named him after the explorer "Vasco Dagama". Africans will never progress as long as the likes of Kikwete keep on leading Africa. There is an underground protests being planned against him during his visit to the US in the next couple of days

hayawi hayawi yamekuwa hakika hata viongozi wa dini wamechoshwa na hali iliyopo na wasiposema nani aseme tuzidi kumwomba mungu atuokoe kutoka kwenye mateso tuliyo nayo mzee wa upako atamka kuroga nimatumaini yangu kuwa atachukua hatua ya kumwambia mungu juu ya vituko hivi

Back
Top Bottom