Mzee wa upako aiita serikali na CCM 'washenzi'

Duh! Napita tu!


sasa nyamaza bac braza... ndio maneno aliyotumia ni makali lakini i ndio ulie toka juzi... angalia sasa mashavu yanavyozidi kuteremka .. kama soka la bongo.... we waache tu blaza.. mungu atalipa.


hahahaha... i am just joking.. ila hiyo avatar. mi simo
 
jamani kama ni kweli basi mungu ameanza kutuonea huruma watanzania,maana huyu mtu si alikuwa anasifia sasa ni tena? Nani? Kamuuzi?,neno KUlOGA ni kumfanya mwanadamu mwezio aribikiwe kwa kutumia hila za kichawi sasa hapa pamoja na ufafanuzi aliotoa baadaye mbona makali ni yale yale any way hatutakiwi kuwanyooshea vidole

Wagalatia 3 sikumbuki ni mstari wa ngapi, unasema Enyi wagalatia ni nani aliyewaloga? Mniambie leo inamaana Mtume Paulo nae alikuwa mchawi kwa kutamka neno kuloga?
 
Well said, Tanzania tumeshabakwa sana, damu zinatuvuja sasa hivi, halafu eti serikali imeunda tume ya kuchunguza ajali...tume...tume!! tupia ndani wote kuanzia nahodha, crew, wapiga debe, watu wa ticket na wengineo...viongozi wetu washatuna si ''mabawa manviziki''...sasa vilio kila kona, wabng tutatokea wapi??

na washindwe katika jina la yesu.. amen..
 
priceless advice...lusekelo is a nutcase, don't waste your precious time buying into his insinuations!

kesho ataibuka na bango la kusifia magamba. mi nipo mtanikuta!
 
eee... Sasa ninaamini kwel shetan akizeeka anakuwa malaika mana huyu jamaa alikuwa anaitetea ccm ile mbaya leo anaigeuka kaz ipo kwel ila amesema ukwel lakn 2nashndwa kuelewa tuchukuwe yapi na ndo ninakumbuka fid q alisema usimwamin mnafiki hata kama anasemaga ukwel ndo hapo chacha haya lakn tumsikirize
 
Mkuu mimi nipo Ibadani aliyoyasema mengine ni makali zaidi speed yangu ya kuandika kwa kutumia cm ilikuwa haiendani na maneno yake. Hata mke wake wnayetangaza TBC alikuwa akirukaruka kwa shangwe kila mume wake anapoteremsha nyundo
<br />
<br />
na wewe ulienda kuchukua habari ama kusali?
 
Mzee bado unaingia makanisa ya hao matapeli? Mchungaji ana gari la mil. 200 halafu kuna waumini wake wanakosa nauli ya kutoka buguruni to ubungo! I think kabla hajawanyoshea kidole ccm ajichek kwanza mwenyewe! Halaf mkuu inaonyesha haupo siriazi na ibada, yaani unajamiiforuming inside the ibada! Huyo mchungaji wako anafikiri kwa kutumia masanilo!!!

Umemwambia sawa yeye anafikiri kwa kutumia masanilo kwa kuwa wewe ni gamba na unafikiri kwa kutumia masaburi. Makanisa hayo ni ya matapeli lakini maneno yake aliyozungumza bila kufikiri yeye na kanisa lake pakoje ni maneno yenye ukweli. Masanilo + Masaburi + Matapeli = Magamba
 
Wagalatia 3 sikumbuki ni mstari wa ngapi, unasema Enyi wagalatia ni nani aliyewaloga? Mniambie leo inamaana Mtume Paulo nae alikuwa mchawi kwa kutamka neno kuloga?

Petro hakuwa mchawi nadhani hujaelewa neno vizuri, aliwaambia hivyo kwa sababu walikuwa na matatizo sana na tabia za ajabu ndo maana akawauliza nani amewaroga, siyo kwamba yeye ndo mchawi.
 
kama kweli kasema hivyo, namfananisha na Alqaida anweza kuvaa bomu na akajilipua maana haogopi kitu.
 
Hata mimi mwanzoni nilishtuka lakini alirudia neno kuroga zaidi ya mara 5 baadae akafafanua kuwa maombi yake dhidi ya wanaodhulum nchi ni sawa na kuroga tu

Kama hii ni kweli cjui twaenda wapi, wakati wa uchaguzi mkuu wakati makanisa mengi yalitangaza ama kutokuwepo ibada au kufupisha ili watu wakapige kura, yeye aliwaambia waumini wake wasiende kupiga kura na akasema kwanza ata yeye hajajiandikisha na hivyo hatopiga kura, sijui kama anakumbuka hii.

Ehee Mungu tuhurumie na vinywa vyetu!
 
Back
Top Bottom