Mzee wa upako aiita serikali na CCM 'washenzi'

jamani kama ni kweli basi mungu ameanza kutuonea huruma watanzania,maana huyu mtu si alikuwa anasifia sasa ni tena? Nani? Kamuuzi?,neno KUlOGA ni kumfanya mwanadamu mwezio aribikiwe kwa kutumia hila za kichawi sasa hapa pamoja na ufafanuzi aliotoa baadaye mbona makali ni yale yale any way hatutakiwi kuwanyooshea vidole
 
mkuu kama ni k weli basi naamini binadam anabadilika,huyu mzee wa upako alikuwa supporte mzuri ma magamba,sasa inakuwaje??una uhakika na hayo maneno kwamba yalitamkwa na yeye?
Nadhani ameingiliwa na upako wa ukweli wa Roho Mtakatifu. Maana maandiko yanasema, mtaijua kweli nayo itawaweka huru nanyi mtakuwa huru kwelikweli
 
Mamlaka inayoheshimiwa ni ile ambayo na yenyewe inatimiza wajibu wake kwa raia wake. Kinyume cha hapo ni mamlaka isiyo na uhalali wa kuheshimiwa ambayo hatimaye huchochea uasi.
<br />
<br />
Mkuu, huyu bwana alionya raisi na viongozi wasisemwe vibaya coz mamlaka yake yatoka kwa mungu. Sasa nashangaa hilo andiko limefutika katika kitabu chake na hata kichwani!
Kaona nini leo ambacho hakukiona siku chache zilizopita.
Au wamemtaja kwenye ile orodha?
 
Kweli mzee wa upako anamatatizo yake binafsi ila ameongea ukweli kabisa
Nakubaliana na wewe, Mzee wa Upako nilikuwa namchukulia kama msanii fulani wa attention seeker. Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana alijikomba komba sana CCM. Sheikh Yahya alipofariki, yeye akajipeleka kimbelembele kuonyesha anahusika sana!.

Kwa vile walokole kuna wakati wanapandwa na roho wa kweli, lets asume this time he is for real, labda nami nitaanza kumchukulia serious!
 
duu yani hakuna hata mmoja anayetetea hawa mafisadi a.k.a cc*. Hata wale mliongwa hatuwaoni kweli cc* ina kifo cha mende...... Eti AMANI wametuletea cc*
 
nakumbuka nilimuona kwa macho yangu akipuuza suala zima la kupiga kura eti ni utamaduni usio na maana,leo anajifanya kulalama...unafiki dot Com!!!
 
Well said, Tanzania tumeshabakwa sana, damu zinatuvuja sasa hivi, halafu eti serikali imeunda tume ya kuchunguza ajali...tume...tume!! tupia ndani wote kuanzia nahodha, crew, wapiga debe, watu wa ticket na wengineo...viongozi wetu washatuna si ''mabawa manviziki''...sasa vilio kila kona, wabng tutatokea wapi??
 
Duuh! Mimi nilidhani ukiwa mchungaji unakuwa kinyume na uchawi? Sasa inakuwaje huyo mchungaji atishie kuroga watu? Au alikuwa na maana gani alipotumia neno kuroga? Otherwise nimeupenda mtazamo wake kwa ujumla na hasa maneno aliyotumia ambayo yanaeleza kwa uzuri zaidi hali tuliyonayo kwa sasa.
 
nimejaribu kusoma yaliyoandikwa. Well, ni kweli tunaibiwa, ni kweli serikali ya CCM imetuumiza. Lakini mzee wa 'upako' amekosea. Ametumia maneno ambayo mtumishi wa Mungu, kama anavyodai kuwa mmoja wao, hakupaswa kutumia...very sad!
 
duu, hii kali hasa hapo kwa kuroga kwa hiyo mzee wa upako ni mlozi, afu hiyo sentensi ya mwisho mwee
 
Back
Top Bottom