Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Duh mie nampenda sana huyu mzee ila roho iliniuma sana kuna siku alikuwa na salama kwenye kipindi cha mkasi akamuomba jk trekta duh nliskia huruma sana ina maana siku zote hizo anaigiza leo kawa wa kuomba wakati wengi wanasema sanaa inalipa au kuna nini nyuma ya pazia? Tanzania bado sana yaani mzee kama huyu na kipaji chote hicho anakufa maskini!!!!
 
Hebu pata picha,unaingia kwenye daladala..ile unaingia tu sura ya kwanza kuiona ni ya king majuto kakaa seat ya nyuma kabisaaaaa halafu anasmile au anaachia lile cheko lake

Hahahaha me naweza vunja mbavu kuna ile filamu shikamoo mzee huwa namskiliza neno moja moja analoongea nacheka sana
 
Duh mie nampenda sana huyu mzee ila roho iliniuma sana kuna siku alikuwa na salama kwenye kipindi cha mkasi akamuomba jk trekta duh nliskia huruma sana ina maana siku zote hizo anaigiza leo kawa wa kuomba wakati wengi wanasema sanaa inalipa au kuna nini nyuma ya pazia? Tanzania bado sana yaani mzee kama huyu na kipaji chote hicho anakufa maskini!!!!

Ndio hivyo tena....lakini na wao wamezidi hata hicho kidogo wanachokipta hawakithamini....badala yake wanakula ujana...
 
Kweli binaadamu tumetofautiana....mimi nimejitahidi kucheka nikiangalia komedi zake lakini wapi...yaani hata unywele haushtuki....lakini kingwendu ananivunja sana mbavu...
 
Mmmmh kweli tunatofautiana me kingwendu wala hanichekeshi alafu anatumia nguvu sana kwenye uchekeshaji wake afadhali senga anachekesha
 
Kweli binaadamu tumetofautiana....mimi nimejitahidi kucheka nikiangalia komedi zake lakini wapi...yaani hata unywele haushtuki....lakini kingwendu ananivunja sana mbavu...

Yaani we ndo hujui comedy, kingwendu? Sasa yule analeta mambo ya uswahilini uzaramoni ndio comedy zile? Hapo umefail
 
Comedy ya bongo bado siielew sana .....
Akina majuto kinacho wabeba na umaarufu tu
 
binafsi sijawahi kumkubali mzee majuto!naona analazimisha mtu ucheke ila hafanyi mtu acheke!!!
 
Back
Top Bottom