Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Watu muda mwingine mnashangaza sana! mbona hamuwezi kubali mawazo ya watu ambayo yako tofauti na ya kwenu? Badilikeni!
 
Sipendi filamu za kibongo lakini nilijikuta naangalia filamu ya Kibongo inayoitwa "Dala dala bila kuchoka.....Huko ndani Mzee Majuto alinitengua mbavu zangu..
 
Juzi kati nilifanikiwa kukutana na mkali huyu wa vichekesho akiwa na baadhi ya wasanii wengne.Nkapiga nae picha kujiwekea kumbukumbu.Mzee huyu ni king haswa.Sanaa ya bongo ingekuwa inalipa kivile mzee majuto alitakiwa awe anaishi masaki kama amekos vogue angekuwa anapush hata range rover sport
 
Back
Top Bottom