Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Kama unajua viwango vya comedy, huwezi kusema Majuto ni comedian mzuri.

Unaongelea viwango vya nchi gani? Kwa Tanzania, Majuto anakidhi soko, anawapa watu kile ambacho wanataka.

Comedy za Bollywood na Hollywood ni tofauti kabisa na za Nollywood na Bongo.
 
Huyu ndiye mchekeshaji mwenye kipaji na sio wale wa clouds tv wanajiita vuvuzela hawana kipaji cha uchekeshaji wanalazimisha alafu hata haichekeshi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
thats tru mze majutto ndie legendary wa ukweli na inapaswa mtu kama yeye serikali yetu imuenzi kama mojawapo ya watu muhimu yasije kumtokea kama yale ya bibi kidude ambaye sasa anaumwa bila mtu yyote kwenda kumjulia hali na kumfaliji
 
Kwa mara ya kwanza nilichekeshwa na King Majuto mwaka1980 Korogwe kwenye shule ya Msing Kilole!!
 
Big up sana King Majuto, Ni comedian anayekwenda na Alana za nyakati. Anamknga nyoyo za watanzania wote wazee Kwa vijana, Congrat's.
 
Tangazo la comfy cku ya mara ya kwanza kuona nilicheka had nikapaliwa. Majuto ni noma
 
Back
Top Bottom