Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

WEWE BIBI HIVI UNA HABARI KUWA UISLAM ULIANZISHWA NA MA JESUITS WA VATICAN???
 
Religious Extremist ...Bi mkubwa ukipandisha mada jukwaani jua unaongea na watu wenye akili zao timamu,we unachojidanganya zaidi ni kudhani wakati wa utawala wa Rais Mwinyi ulikuepo mwenyewe tu..
 
@FaizaFoxy You are too smart to come up with such allegations!! Kwamba uongozi ili uwe bora lazima aongoze mtu kutoka dini ya Allah.

Kumbuka Faiza humu ndani tupo sisi memba wa muda mrefu, na kwa michango yako humu ndani wengine tukawa kama wafuasi wako ukiondoa kipengee cha dini ambacho kila mtu ana uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa imani yake.

Kwa hoja kama hii, nakuwa na mashaka kama ni umri wako unazidi kupaa na uelewa unazidi kushika au tatizo ni nini.

Nimeangalia akauti yako mara mbili mbili nikahisi labda ni parody lakini nikakumbuka hii sio twitter!

Au nikiri kwamba mimi ndio sikukufahamu ulivyo deep down! Hivi ndivyo ulivyo.

Am so disappointed.

Mkuu huyo ni religious fanatic, anakimbizana na mzee Mohamed Said
 
Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.

Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.

Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?
Maneno kuntu Da faiza
 
Hakuna cha kurekebisha, wanaelewa fika walichokiandika. Kuna ukoloni mbaya uliotuumiza zaidi ya wakati wa Nyerere?

Tuwe wa kweli, ulikuwepo wakati wa foleni za chakula Tanzania hii? Nani alikuja kuziondosha kabisa mpaka leo hii hazijajirudia tena?
Sabah el khair Bibi. Umekuwa adimu mno jukwaani. Natumai uko salama.
 
Uislamu bwana, kwa hiyo ukiutumikia uislamu unapewa zawadi, unatambuliwa mchango wako? Aisee.

Dini nyingine ni kichekesho.
 
Uislamu bwana, kwa hiyo ukiutumikia uislamu unapewa zawadi, unatambuliwa mchango wako? Aisee.

Dini nyingine ni kichekesho.
Mbona mabeyo juzi kati kapewa na Papa mbona hatukusema kitu ila wakristo chuki zimewajaa mna chuki mbaya sana nyie
 
Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.

Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.

Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?
Elitwege

Ova
 
Imeishia wapi na bado inampa mazawadi ya kuutumikia Uislam.

Allah ameahidi, soma Qur'an 2:261 Unapojitolea kwenye njia zake malipo mema hayaishi.

Una donge?
Mbona unafurahisha Kwan walompa io tuzo ni wawakilish wa mungu mpk useme unapojitolea kwenye njia zake malipo hayaishi ??

"Msizitukuze nafs zenu yeye ndie ajuae mwenye kumcha "

Mwinyi kwa mtazamo wa kiislam ni taghut tu basi
 
Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.

Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.

Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?
Magufuli kuna mambo mengi mazuri kafanya
Enzi zake miradi yote ilikuwa inakwenda kasi

Ova
 
Sasa wewe unafikiri ukoloni nini?

Tulivyobanwa mbavu na mkoloni wakati wa Nyerere uliwepo? Ilifikia mpa chakula kwa foleni. Usilolijua ni usiku wa kiza.
Kuandika na kupost comment bila kuhariri ni kusomea ujinga.
 
Sasa kilichokuumiza roho ni kipi?> Achana na mleta mada, jibu hoja zake. Wewe unaona donge Mwinyi kutunukiwa zawadi kwa kuitumikia Tanzania Kiislaam?

Kama una donge kwa Mwinyi, kuitumikia nchi kwa kufata maadili mema ya Kiislaam, bila kubagua mtu, nasi utauwa na donge na Kikwete na sasa Mama Samia, sijui utakwepa vipi? Utapasuka.

Jionee tofauti za nchi ikiendeshwa na Muislaam na ikiendeshwa na asiye Muislam, mbona mema yapo wazi kabisa.
Nilichogundua wewe huna hoja bali ni udini kila mahali unanufaika na nini kwa kudhihirisha udini JF?
 
Back
Top Bottom