Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita.

Hakika mzee Mwinyi ni somo zuuri.

Mungu amrehemu.
 
Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua ktk kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita.

Hakika mzee Mwinyi ni somo zuuri.

Mungu amrehemu.
Labda kama hakuwahi kuwa serious lakini kutokuumwa si kweli
 
Back
Top Bottom