mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 81,383
- 107,157
Dini zenyewe tumeletewa lakn nashangaa kuna watu wanajifanya wafia diniNilichogundua wewe huna hoja bali ni udini kila mahali unanufaika na nini kwa kudhihirisha udini JF?
Ova
Dini zenyewe tumeletewa lakn nashangaa kuna watu wanajifanya wafia diniNilichogundua wewe huna hoja bali ni udini kila mahali unanufaika na nini kwa kudhihirisha udini JF?
Huyu bibi na kingereza wapi na wapi kaona picha na kuweka uzi hapa..hiyo tuzo inasema uongozi wa Mzee Mwinyi uliikomboa nchi yetu toka ktk ukoloni na ujamaa.
Kuna siku chuoni kuna Mzungu alisema waafrika ni watu wa mapokeo iwe ujinga au vipi hatuwezi kuchuja huwa tunabeba moja kwa moja walikuwepo hadi maprofesa siku iyo ilikua aibu tupu yan.Dini zenyewe tumeletewa lakn nashangaa kuna watu wanajifanya wafia dini
Ova
Hapa ndo napowqcheka waislam... mnashqbikia mambo mepesi mepesi sana.
Mama faiza tuifufue OIC na mahakama ya kadhi wakati wetu huu.
Wanamaanisha Ukoloni na Ujamaa wa Nyerere...hiyo tuzo inasema uongozi wa Mzee Mwinyi uliikomboa nchi yetu toka ktk ukoloni na ujamaa.
Wanamaanisha Ukoloni na Ujamaa wa Nyerere.
Yaani baba wa Taifa anakula za uso kimya kimya.
Ok kwani wenyeji hawakushirikishwa kabisa...Ni tuzo ya Mfalme Faisal wa Saudi Arabia.
..tatizo ni watendaji wa taasisi ya Saudia kutokuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu Tanzania.
..Mzee Mwinyi anaweza kupata donge nono la usd 100 k.
Ok kwani wenyeji hawakushirikishwa kabisa.
Yaani tuseme imetoka huko uarabuni moja kwa moja hakuna hata mwenyeji mmoja iyeisoma kabla mhusika hajakabidhiwa.
Mahakama ya kadhi mbona ipo siku nyingi sana, umelala?Mama faiza tuifufue OIC na mahakama ya kadhi wakati wetu huu.
Tuliowaelewa wana maanisha nini tumesha waelewa. Hiyo ilitumika ni "locution". Haya katafute maana yake, labda ukishaijua maana ya "locution" nawe utaelewa kilichomaanishwa...Ni tuzo ya Mfalme Faisal wa Saudi Arabia.
..tatizo ni watendaji wa taasisi ya Saudia kutokuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu Tanzania.
..Mzee Mwinyi anaweza kupata donge nono la usd 100 k.
Hakuna kosa lililofanyika kwenye maandishi...washindi wametangazwa lakini sherehe za kuwakabidhi tuzo hazijafanyika.
..nadhani sherehe zitakapofanyika makosa yatarekebishwa.
..BALOZI wa Tz anayetuwakilisha nchini Saudi Arabia anatakiwa asaidie kuondoa upotoshaji uliotokea.
Mbona kama unawasemea sasa.Mahakama ya kadhi mbona ipo siku nyingi sana, umelala?
Mnapanga yenu lakini Allah ana yake tayari, vitimbi vyote vya OIC, Mzee anatunukiwa zawadii hivi sasa. Unafikiri OIC wakikuletea misaada ni lazima uambiwe hii ya OIC? Wakitoa kwa wa kulia hata wa kushoto hauyaoni. Huo ndio Uislam.
Unafikiri UDOM ilijengwa na nani? Unafikiri mikopo bila riba aliyoitangaza Bi Samia juzi inatoka wapi? Kuna nani asiye Muislam anatoa mikopo bila riba? Hata benki ya vatikano haifanyi hivyo, ni Waislaam pekee.
Usilolijua ni usiku wa kiza.
Unafikiri kitivo cha moyo cha Kikwete pale Muhimbili kilijengwa na hadi leo hii kinafadhiliwa na nani? Hujaona ma daktari wa kutoka Saudi Arabia kila mwaka wanakuja mara moja au mbili kufanya kazi za bure? Unafikiri nani anawalipa wale gharama zao?
Fikiri japo kiduchu. Uislam ni mwema, sana, sana, sana.
Sio hawa waliowafunga minyororo babu zetu na kuwauza kama kuku.