Hivi manyau ya bar unayajua yaliyomakubwa?
Achana nayo ni makubwa kama madog
Kijana umepagawa sana! Hadi unaweka PM humu jukwaani! Tulia!? FP kasema anakutania tu!
Hajui hata maana ya PM huyu!
heh heh heeeeeh! Ulikuwa wapi Kungwi? Mbona Erickb52 keshajibiwa!
Hajui hata maana ya PM huyu!
Mr Q kumbuka mi ndio Moderator wa jukwaa hili so ukiingia humu lazma uwe upande wangu.....naomba huyo TANMO umtoe kwenye umume mwenza....kwa FP niko mwenyewe tu yani Erickb52
Ohhhh niliwahi kunusuruka mwenzioDuh! Umejuaje?