My Letter to FP

haya sasa FP huyu hapa, nimesikia kilio cha TANMO na Erickb52
kama mnavyojua, mimi ni binti halisi wa kiafrika, sitataka kabisa kuchakachua hilo. Naendeleza zile mila zetu..... kwa vile kila kilio kimeishia kwenye kapo, nawatuma kwa shangazi zangu wakiongozwa na akina snowhite, cacico, Kongosho wao watawaambia na wengine. na wajomba zangu akina Dark City, babu Asprin wao watawaambia wazazi wangu.
msisahau kwenda na cv zenu, maana siku hizi wakaka mmekuwa matapeli msije mkaniuza kuchunwa ngozi.
nategemea majibu toka kwa akina shangazi
 
Last edited by a moderator:

Don't wait for the Perfect Moment,
Take the Moment and make it Perfect
Erickb52 is Perfect
 
haya sasa FP huyu hapa, nimesikia kilio cha TANMO na Erickb52
kama mnavyojua, mimi ni binti halisi wa kiafrika, sitataka kabisa kuchakachua hilo. Naendeleza zile mila zetu..... kwa vile kila kilio kimeishia kwenye kapo, nawatuma kwa shangazi zangu wakiongozwa na akina snowhite, cacico, Kongosho wao watawaambia na wengine. na wajomba zangu akina Dark City, babu Asprin wao watawaambia wazazi wangu.
msisahau kwenda na cv zenu, maana siku hizi wakaka mmekuwa matapeli msije mkaniuza kuchunwa ngozi.
nategemea majibu toka kwa akina shangazi
Jamani FP bora umekuja na nimefurahi TANMO kakuelewa na hana hiyana na sisi.....karibu kwenye himaya ya b52 uone tofauti ya love!
 
Last edited by a moderator:
haya sasa FP huyu hapa, nimesikia kilio cha TANMO
kama unavyojua, mimi ni binti halisi wa kiafrika, sitataka kabisa kuchakachua hilo. Naendeleza zile mila zetu..... kwa vile kila kilio kimeishia kwenye kapo, nawatuma kwa shangazi zangu wakiongozwa na akina snowhite, cacico, Kongosho wao watawaambia na wengine. na wajomba zangu akina Dark City, babu Asprin wao watawaambia wazazi wangu.
msisahau kwenda na cv zenu, maana siku hizi wakaka mmekuwa matapeli msije mkaniuza kuchunwa ngozi.
nategemea majibu toka kwa akina shangazi

Wow,
Jibu lako kwangu ni nusu ya ndiyo..
Ngoja nikaandike Siivii halafu narudi...
 
haya sasa FP huyu hapa, nimesikia kilio cha TANMO
kama unavyojua, mimi ni binti halisi wa kiafrika, sitataka kabisa kuchakachua hilo. Naendeleza zile mila zetu..... kwa vile kila kilio kimeishia kwenye kapo, nawatuma kwa shangazi zangu wakiongozwa na akina snowhite, cacico, Kongosho wao watawaambia na wengine. na wajomba zangu akina Dark City, babu Asprin wao watawaambia wazazi wangu.
msisahau kwenda na cv zenu, maana siku hizi wakaka mmekuwa matapeli msije mkaniuza kuchunwa ngozi.
nategemea majibu toka kwa akina shangazi

Aaa nimerudi,, nilisahau.
Eti Siivii tunaiandika kwa lugha gani?
Yaani hata kama ni kwa kikwenu we niambie, alimradi unitajie Kabila..

rose_heart_2547277.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom