Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Hahahaaaa ukishangaa ya filauni utakutana na ya b52Lahaula lakuataaaaaa khaaaaa!
Hahahaaaa ukishangaa ya filauni utakutana na ya b52Lahaula lakuataaaaaa khaaaaa!
Halafu nimemuona Filipo kama anakuzengeazengea vile hujagundua sweetlady ?Hehehehe Filipo amekosa uaminifu na mimi lol.....yaani ananifananisha na mkulu wa nchi kwa ahadi hewa lol!
Hahahaaa kwani mafisahi huwa wanatokwa jasho?
Mlala hoi ndio inakula kwake siku zote heeeee hukujua sweetlady ?
Kumbuka nitonye alivyofanywa na Vin Diesel
Halafu nimemuona Filipo kama anakuzengeazengea vile hujagundua sweetlady ?
Akijilengesha mpe za uso aende kwa BADILI TABIA a.k.a free zone
Hehehehe Filipo amekosa uaminifu na mimi lol.....yaani ananifananisha na mkulu wa nchi kwa ahadi hewa lol!
Bado nakuamini sana sweetlady! Majibu mengine najibu nikiwa na marejesho naogopa kumuudhi. Ila usiniache tena kaunta! Nitakunywa ndofu nyingi sana! Lol
hawezi kutuchonganisha huyo! Amepatwa kiwewe baada ya kukubaliwa ki"chinachina!"
sweetlady si ulikuwa na nitonye ukahamia kwa Vin Diesel then umerudi tena kwa nitonye ingawa zamani pia ulikuwa na klorokwini wakati uporoto yuko na KabakabanaThibitisha au kanusha hapo red vinginevyo nareport abuse !:A S embarassed:
sweetlady si ulikuwa na nitonye ukahamia kwa Vin Diesel then umerudi tena kwa nitonye ingawa zamani pia ulikuwa na klorokwini wakati uporoto yuko na Kabakabana
Bisha.....tena wakati ule Husninyo alikuwa na @jugdement full malovedove