My Letter to FP

Wewe unaturingishia na Pesa za hisani ya Mhaya Masikini Bishanga?
Benki zimeshaanza kumfilisi baada ya kushindwa kulipa madeni..
Ngoja akate misaada ndiyo utakoma..
Heheheheee umesahau kuwa Bishanga nilimpora mkewe The secretary ?
Huko kwa mkewe ndio nilikochuma mali za Bishanga wakati huyu binti hasikii lolote juu yangu so baada ya kumwaga The secretary ndio nimejidhatiti zaidi bila utegemezi wowote
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom