My Letter to FP

Tumemhifadhi FP unyagoni itachukua mwezi mmoja kukamilisha mafunzo. Baada ya hapo ataenda kupikwa ndani ya 'kicheni pati' kwahiyo TANMO na mwenzako muwe na subira kidogo kabla ya kupokea majibu ya barua zenu.
 
Last edited by a moderator:

heh heh heeeeeh! Ulikuwa wapi Kungwi? Mbona Erickb52 keshajibiwa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa kijana acha majungu basi lol
Hivi haka ka TANMO si kalimwagwa na Preta nilipomchukua mimi? Ina maana hajamjua b52 ni nani?
Lol mi ndio mimi meeeeeen!
Salamu zake!

Wewe unaturingishia na Pesa za hisani ya Mhaya Masikini Bishanga?
Benki zimeshaanza kumfilisi baada ya kushindwa kulipa madeni..
Ngoja akate misaada ndiyo utakoma..
 
Tumemhifadhi FP unyagoni itachukua mwezi mmoja kukamilisha mafunzo. Baada ya hapo ataenda kupikwa ndani ya 'kicheni pati' kwahiyo TANMO na mwenzako muwe na subira kidogo kabla ya kupokea majibu ya barua zenu.
Mr Q kumbuka mi ndio Moderator wa jukwaa hili so ukiingia humu lazma uwe upande wangu.....naomba huyo TANMO umtoe kwenye umume mwenza....kwa FP niko mwenyewe tu yani Erickb52
Huyu jamaa mletee wa kiwango chake sio ma wife to be
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom