RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,424
Serikali inaona tabu ugumu gani kuweka kipengele cha dini?
Kwa sababu haina Dini
Serikali inaona tabu ugumu gani kuweka kipengele cha dini?
Kiingizwe pia na kipengele cha kabila
Acha porojo hizo Subiri sensa itatoa data za ukweli
Mleta mada hujaeleza vizuri Mwal. Nyerere alifanya nini na takwinu hizo ambazo awali zilionyesha 68% kwa 22%. Je alifanya kuwa 50:50? ili kuweka hali ya hewa sawa?
Mkuu PakaJimmy,
Mleta mada kaeleza vizuri kabisa.Sensa ya mwaka 1967 ilionyesha waKristo ni 68% na waIslam 22% ya idadi ya wananchi wote wa Tanzania.
Nyerere alibaini waKristo wangeweza kutumia wingi wao vibaya dhidi ya ndugu zao waIslam akaamua kukifutilia mbali kipengele cha dini.
Kiingizwe pia na kipengele cha kabila
Serikali inaona tabu ugumu gani kuweka kipengele cha dini?
Hicho kipengele kiulize hivi "WEWE NI MUISLAM.?"waislamu tushike hapo hapo tusiachie , "HAKUNA SENSA IKIWA HAKUNA KIPENGELE CHA DINI"
Nia ya kuhesabu WATU (sensa) ni kupata idadi ya watu ili itumike katika kupanga huduma za jamii Kama mahitaji ya Huduma za afya kwa ufanisi. Huduma hizi hazichagui dini. Taarifa za idadi za waumini anaye zihitaji akazifuate kwenye nyumba za ibada. Lakini kwa wale waafrika weusi kubaguana kwa msingi wa dini zilizoletwa na wakandamizaji Kama sehemu ya tamaduni zao si kujidhalilisha?...hivi babu zetu waliokua hawana hizi dini na waliozikataa kwa kuona hila na ushenzi wa waeneza dini wakifufuka si itakua aibu? Wandugu tuitafakari historia yetu na tudumishe umoja.Serikali inaona tabu ugumu gani kuweka kipengele cha dini?
Mkuu PakaJimmy,
Mleta mada kaeleza vizuri kabisa.Sensa ya mwaka 1967 ilionyesha waKristo ni 68% na waIslam 22% ya idadi ya wananchi wote wa Tanzania.
Nyerere alibaini waKristo wangeweza kutumia wingi wao vibaya dhidi ya ndugu zao waIslam akaamua kukifutilia mbali kipengele cha dini.
waislamu tushike hapo hapo tusiachie , "HAKUNA SENSA IKIWA HAKUNA KIPENGELE CHA DINI"