Vita ya Hamas na Israel inaonyesha watu walivyo na Imani haba kwa Mungu

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Tokea vita hiyo ya Hamas na Israel imeibua mijadala na maneno makali kati ya watu. Ajabu wanaoibua mijadala hii ni Waislamu na Wakristo kila mmoja anatetea dini yake.

Hapa kuna wanaotoa maneno ya busara hasa wale watumishi wa Mungu. Kwa pande zote mbili, yaani Waislamu na Wakristo. Ila kuna wale wafia dini ambao wao waonyesha hasira za kibinadamu.

Wamefikia hatua ya kurushiana maneno makali kwenye mijadala mitandaoni kama hapa JF ndio nashinda sana. Hii inaonyesha kuwa watu Bado wana Imani haba na Mungu.

Hasa wakristo ndio wameonesha kuwa Imani yao ipo chini. Nasema zaidi na wakristo maana wao wanajua historia ya Israel. Wanajua ni Taifa teule linalopiganiwa na Mungu na Mungu aliwachagua wao, na wanajua Mungu wao hajawahi kushindwa ila wanatukanana..

Badala ya kuomba vita viishe watu wake wakae kwa amani wao wanaanzisha vita ya maneno na chuki za kidini.

Nashangazwa sana na hii hali ya kufia Dini.
 
Ninakazia:

"Hasa wakristo ndio wameonesha kuwa Imani yao ipo chini. Nasema zaidi na wakristo maana wao wanajua historia ya Israel. Wanajua ni Taifa teule linalopiganiwa na Mungu na Mungu aliwachagua wao, na wanajua Mungu wao hajawahi kushindwa ila wanatukanana.."

Panawahusu sana hawa ndugu maparoko uchwara:

Joni, MK254 na wenzao
 
Inasikitisha sana Smart11
 
Mtaandika sana humu lakini ukweli unabaki pale, temaneni na kuchokonoa Wayahudi, wale ni balaa watawaua sana nyie watu, Gaza sasa hivi ni majivu. hakuna aliyejaribu kuwafuta Wayahudi akafaulu, hata mungu wenu muddy kashindwa sembuse nyie, ona alivyowaingiza mkenge

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Donatila, Joni, smart11 hizo ndiyo tunaita mbuzi mbuzi:

Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza
 
Aina za kina MK254 wapo kwenye vita vya kidini ...

Uko sahihi kabisa maana haya matamko ya muarabu ndio huwasababishia maugomvi yote na kila dini...

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Ninakazia:

"Hasa wakristo ndio wameonesha kuwa Imani yao ipo chini. Nasema zaidi na wakristo maana wao wanajua historia ya Israel. Wanajua ni Taifa teule linalopiganiwa na Mungu na Mungu aliwachagua wao, na wanajua Mungu wao hajawahi kushindwa ila wanatukanana.."

Panawahusu sana hawa ndugu maparoko uchwara:

Joni, MK254 na wenzao
Umemsahau Maghayo The Mongolian Savage .

Huyu Barbarian amewahi kusema humu kuwa Israel inamuangusha sana idadi ya vifo vichache mno kwa Palestina.

Vilevile amewahi kusema "wauliwe vitoton,vizee hadi wanawake kisha miili Yao ifanywe maonyesho hadharani"

Mwengine amewahi kusema "Gaza inatakiwa isafishwe wote wauwawe asibaki hata sisimizi"

Ukichuguza hiko kauli na nyinginezo unapata majibu kabisa jinsi hali ya binadamu tulivyo sasa..
 
Mi napenda habar za vita wakipigana nachagua upande nashabikia wala tusipangiane namna ya kubehave panapokua na mgogoro, mgogoro wa huko middle east Watu hata Sina nasaba nao hawanihusu hawanisaidiii siwasaidiii lolote ya nn kujudge imani yangu kupitia mgogoro wao? Nimechagua kushabikia Israel tusipangiane!

Mbona kipindi nashabikia Russia hamkujudge kiimani?

Npo hapa mlutheri swaaaaafi
 
Huu u maskini wa mawazo mtu unaweza kulazimika kucheka kama ni mazuri vile ..
 
Mi napenda habar za vita wakipigana nachagua upande nashabikia wala tusipangiane namna ya kubehave panapokua na mgogoro, mgogoro wa huko middle east Watu hata Sina nasaba nao hawanihusu hawanisaidiii siwasaidiii lolote ya nn kujudge imani yangu kupitia mgogoro wao? Nimechagua kushabikia Israel tusipangiane!

Mbona kipindi nashabikia Russia hamkujudge kiimani?

Npo hapa mlutheri swaaaaafi
Mkristo yeyote anaelewa maana ya Israel kiimani ila kama ni dini nyingine huwezi elewa kuhusu hili...

Hivyo wewe unafurahia vita na uchagua kama timu na unashabikia...

Watu wanakufa unafurahia...

Ifike mahali tuache ushabiki wa kijinga...
 
NI matatizo ya kutoiva ki falsafa. Hawajui hawataki au wanataka nini ..

Si tatizo dogo hilo.
 
Ifike mahali tuache ushabiki wa kijinga...
Donatila sawa nafanya ushabiki wa kijinga lkn unabidili nini katika hayo yanayotokea?

Sawa nyinyi hamkushabikia madhara yalisimama? Hao watoto hawakufa? Wamama walipona? Vita vilisitishwa?

Punguzeni kujipa umuhimu usio na tija huo ndo ulokole uchwara sasa
 
Back
Top Bottom