Mwl. Nyerere alitumia hekima kuongopa census ya Mwaka 1967?

Mi nataka waweke kabila,Dini ipi ina wasomi wangapi na ina miliki Shule vyuo vikuu,vingapi, hospitali ngapi, zahanati ngapi, na ina wanfunzi wangapi wanosoma shule za kata, na Ni watu wa dini gani ni wavivu hawafanyikazi, na waliozalia home, na Dini ipi inaishi kwa waumini wake kutegemea misaada, waingize wangapi Yanga na Simba, na Kanda ipi ina watu wengi, na kanda ipi maskini zaidi na kandda ipi haisomeshi watoto, na ni watoto wa dini ipi wanaongoza ktk shule mbalimbali.
 
Back
Top Bottom