Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

upepo bado unavuna toka Northern part of Africa na jana/leo uko Libya kwa mzee Ghadafi ukishamaliza kazi huko basi utaanza kueleke Kusini taratibu ukihakikisha madikteta wote wang'olewa.
Hivyo tusubiri tu kwani huo upepo hautambakiza huyu Kikwete na CCM yake,ni lazima waachie tu madaraka

Mkuu kwa hili hatuhitaji tusubiri, siyo guaranteed kwamba tukisubiri kutakuwa na sababu na momentum kubwa kuliko hili la mabomu juu ya hali mbaya ya maisha na uchumi
 
Jk na wenzake sijui wanafikiria nini. Kipindi chao maafa ya mabomu tu na hata haiwashtui. Kama Mbagala hawakushtuka sidhani kama G/mboto watashtuka. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Morogoro nao wajiandae. Nasikia kule yako mengi sana. Mungu tunusuru wananchi wa TZ na tunakuomba utuletee viongozi wawajibikaji sio kama hawa tulio nao wasiojali damu za watu zinamwagika, wanapoteza makazi kulipwa fidia miyeyusho tu. Iam sick and tired of ths gvt
 
Mabom Mabom!

Uncle wangu alikuwa anaishi mbagala,baada ya mabom ya mbagala akaamua ni heri ahamie gongo la mboto,sasa na huko imekuwa balaa,karibu upande wa nyumba nzima umebomoka

Mi nimemshauri ahamie Kawe sasa hivilabda huko anaweza kuwa salama

vp wadau mnamshauri ahamie wapi labda panaweza kuwa salama zaidi?????
 
wewe ni kipofu na utaendelea kuwa kipofu hivyo hivyo milele.aaaghhhhhhhhhhhh

Kwani Arusha kuna kombati ya chama ata moja ililegwa risasi, acheni kuwarubuni watu kwa masilai yenu binafsi. Watu wafe mtengeneze majina yenu.

Aku! mimi sipo kabisa
 
Hapana, mimi sishauri, wewe ni mwanasiasa. Familia yako na wewe mtakuwa salama. Tutakao kufa ni sisi. Nguvu ya uma aifai.

Ushidwe!



Sis wa ukweli
Junior Member

Join Date : 17th February 2011
Posts : 5
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0


Angalia umejiunga leo baada ya kuona wito wa ngungu ya umma unataka kufanikiwa. Wewe ni fisadi kigogo unayeshiriki kutuangamiza. Tuachie tujipange tukuondoe madarakani unaweza kuanza kutafuta nchi ya kuhamia sasa hivi
 
Meya wa Ilala kapost hii kwenye FB page yake:

"Jamani hali Gongolamboto ni shwari,nimeingia kambini mwenyewe na tumetembea kambi nzima ,milipuko yote imekwisha. Mhe.Rais ametembelea,Mhe.Makamu wa Rais ametembelea na waandishi wa habari wa kiraia wameruhusiwa kuingia ndani na hali ni shwari. tunazidi kuwaomba wananchi wawe na imani kwamba maeneo yao ni salama. Mabomu yaliyoko mitaani yatakusanywa na askari na hayana madhara kwa sasa......"

Katika hiyo mistari yenye rangi hiyo, kuna utata.

Wananchi wa Tanzania hatujapigana vitu miaka mingi sana, ila tuna experience ya miaka miwili kuwa MAENEO YANAYOLIZUNGUKA KAMBI ZA JESHI SIO SALAMA....na pia MABOMU YANA MADHARA.

Namuomba mstahiki abadilishe usemi wake. Namuunga mkono kwenye kuomba wananchi wawe watulivu na makini kwa kipindi hiki....lakini sio kutudanganya.

Tuweke siasa pembeni, tutatue matatizo kwanza.
 
wala hatukuhitaji,
Hii nchi itakombolewa na watu shujaa sio amjuha kama wewe
why wasting ur time here?
Kwani Arusha kuna kombati ya chama ata moja ililegwa risasi, acheni kuwarubuni watu kwa masilai yenu binafsi. Watu wafe mtengeneze majina yenu.

Aku! mimi sipo kabisa
 
watu kama hawa inabidi wawe wanapewa kwanza mda kuwa quarantine ili kuwachunguza zaidi
wanaweza wakawa ni wake za mkwere
ninyi mnajineemesha katika hilo kasiri la kifisadi leo mmnatuletea upuuzi hapa

Sis wa ukweli
Junior Member

Join Date : 17th February 2011
Posts : 5
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0


Angalia umejiunga leo baada ya kuona wito wa ngungu ya umma unataka kufanikiwa. Wewe ni fisadi kigogo unayeshiriki kutuangamiza. Tuachie tujipange tukuondoe madarakani unaweza kuanza kutafuta nchi ya kuhamia sasa hivi
 
Kwani Arusha kuna kombati ya chama ata moja ililegwa risasi, acheni kuwarubuni watu kwa masilai yenu binafsi. Watu wafe mtengeneze majina yenu.

Aku! mimi sipo kabisa

Yaani wewe umetumwa ujiunge na JF sasa hivi baada ya hii thread kuonekana ili ujifanye kutubadili mawazo. Huwezi na hatudanganyiki, jambazi fisadi we
 
WanaJF kwanza mmepona kwa wale waliokuwa wanaish na wenye ndugu GONGO LA MBOTO salama wote huko mana hal co nzur pande lile
 
Kawe.......mwambie aje tu! Lugalo kuna mabomu machache na risasi, zitaweka crakes chache tu kwenye nyumba yake!!
 
Am ready .....i feel ashamed kuipinga serikali dhalimu kwenye keybord...i need action...barabarani..
 
Kwa hapo dar wala simshauri chochote, labda aje huku vijijini kwetu ambako askari tunawaona wakati wa mbio za mwenge. lakini sijui labda na huku ghala ziko underground.
 
Back
Top Bottom