Mliko Dar mjitokeze jamani, Muwasaidie ndugu zetu...Mungu awape ujasiri katika maamzi haya....Ndugu wana JF nimepata nafasi ya kwenda physically pale blood bank ya Muhimbili, jamani ni kweupe kabisa!!!! Hamna damu hata tone, bado majuruhi ni wengi na wana hitaji damu kwa wingi. Kwa wale ambao tumeguswa naomba twende kuchangia damu kwani ni janga ambalo limemkuta yeye leo lakini kesho ni wewe. Hamna hata damu ya dharura kwa ajili ya wa mama wanaojifungua, chonde chonde wandugu, kumbuka damu inatoka kwa binadamu tu laiti ingekuwa inatengenezwa!!!!
Nani wa kuanzishaa?...............
Jamani toeni muongozo tukutane wapi na kwa style gani. This is too much now, namtafuta mtoto wa brother toka jana hadi sasa sijamuona, watu wengi wamepotea just imagine ninakokaa ni kama Kilometer 5 lakini watu wengi haijulikani wakowapi.
wewe ni kipofu na utaendelea kuwa kipofu hivyo hivyo milele.aaaghhhhhhhhhhhhHapana, mimi sishauri, wewe ni mwanasiasa. Familia yako na wewe mtakuwa salama. Tutakao kufa ni sisi. Nguvu ya uma aifai.
Ushidwe!