Mkuu kitila, nadhani huu ni muda muafaka wa kujipanga kwa ajili ya kukomboa lile jimbo, si unaona jamaa hana hoja kabaki kuleta vioja?There are currently 63 users browsing this thread. (22 members and 41 guests)
Nakumbuka kuna mtu alishawahi kumvisha mbwa t'Shet ya ccm alichukuliwa hatua kali sana, yani hu ni upuuzi mkubwaa sanaa kiukweli, hi inakuwa inachochea chuki sana!!
- Kwa wenye upeo mdogo kama hao waliovisha mbwa bendera ya Chadema wakifikiri kama tusi kumbe walio wapana katika kufikiri ndio wameenzi vizuri chadema, kwa kuwa mbwa ni mnyama pekee mwenye ukaribu na binadamu.
- i mbwa ambaye ni mlinzi pekee wa binadamu kati ya wanyama wengine.
- Ni mbwa pekee mwenye kuenziwa na kushirikishwa katika familia za binadamu kuliko mnyama mwingine ye yote.
NB: Sifa pekee kabisa ya mbwa ni kwamba hata shetani na wenye kutumia nguvu za ibilisi wanamwogopa mbwa kwani hata kama hawataonekana kwa macho lakini harufu yao itagundulika. Ndio maana hutakuta hata mara moja wanaofanya secret services iwe binafsi au serikalini katu hawafugi au kuchangamana na mbwa kwa vile huwaumbua vilivyo. Polisi pekee ambao hufanya mambo yao mwangani ni rafiki na mbwa kwa vile husaidia kufunua vilivyofichika.
Umeshawahi kuona waganga wa kienyeji wenye kujihusisha na mambo ya uchawi au ye yote anayejihisisha na uchawi au secret services wanafuga mbwa?
Jibu ni hapana.Mbwa ni mnyama rafiki wa binadamu na waliofikiri wanafanya kwa kufanya chuki wamepotea, bora watafuti kitu kingine.
nadhani mnasahau pia context ya jambo lebyewe. huyo mbwa katumika kama insult zaidi. ni sawa na pamoja n hesgima zote kwa mwanamke lakini ikiambiwa we demu nini unamaindMosi, nianze kwa kukupa heshima kwa tafsiri nzuri kuhusiana na mbwa. Nimependezwa sana na mwelekeo chanya uliouonyesha kuhusiana na suala hili la mbwa kuvishwa bendera ya cdm.
Pili, kwa namna ulivyoeleza nimejikuta napata swali la haraka haraka kwamba kama waislam hawamtaki kabisa mbwa, hii ina maana gani in the context ya maelezo yako hapo juu?