Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Uwezo wake ni mdogo wa kufikiri,majibu atayapata 2015 na lakini Watu Kama Huyu ni hatari sana wana weza kuhatarisha amani ya nchi yetu.mimi nafikiri Huyu si raia wa tanzania ,achunguzwe
 
haki ya Mungu naogopa ban. ila hy mwigulu sijui nimfanishe na nani maana akili yake nimefeli kumwelewa je kura za maoni alipita vipi. hy bwana anapenda mipasho sana nadhani hajakomaa kisiasa
 
Nampa heko................. Hii inaonyesha Vugu vugu la mabadiliko si kwa binadamu tu, hata walinzi wetu/mbwa. Ipo siku watagoma kulinda nyumba/mali walizovuna kifisadi.
 
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images

  • Kwa wenye upeo mdogo kama hao waliovisha mbwa bendera ya Chadema wakifikiri kama tusi kumbe walio wapana katika kufikiri ndio wameenzi vizuri chadema, kwa kuwa mbwa ni mnyama pekee mwenye ukaribu na binadamu.
  • i mbwa ambaye ni mlinzi pekee wa binadamu kati ya wanyama wengine.
  • Ni mbwa pekee mwenye kuenziwa na kushirikishwa katika familia za binadamu kuliko mnyama mwingine ye yote.

NB: Sifa pekee kabisa ya mbwa ni kwamba hata shetani na wenye kutumia nguvu za ibilisi wanamwogopa mbwa kwani hata kama hawataonekana kwa macho lakini harufu yao itagundulika. Ndio maana hutakuta hata mara moja wanaofanya secret services iwe binafsi au serikalini katu hawafugi au kuchangamana na mbwa kwa vile huwaumbua vilivyo. Polisi pekee ambao hufanya mambo yao mwangani ni rafiki na mbwa kwa vile husaidia kufunua vilivyofichika.

Umeshawahi kuona waganga wa kienyeji wenye kujihusisha na mambo ya uchawi au ye yote anayejihisisha na uchawi au secret services wanafuga mbwa?
Jibu ni hapana.Mbwa ni mnyama rafiki wa binadamu na waliofikiri wanafanya kwa kufanya chuki wamepotea, bora watafuti kitu kingine.
 
Nakumbuka kuna mtu alishawahi kumvisha mbwa t'Shet ya ccm alichukuliwa hatua kali sana, yani hu ni upuuzi mkubwaa sanaa kiukweli, hi inakuwa inachochea chuki sana!!
 
Nakumbuka kuna mtu alishawahi kumvisha mbwa t'Shet ya ccm alichukuliwa hatua kali sana, yani hu ni upuuzi mkubwaa sanaa kiukweli, hi inakuwa inachochea chuki sana!!

Uchaguzi mkuu uliopita huko Songea vijana walivisha mbwa bendera ya CCM walivyotafutwa na polisi kama wauaji na maharamia, leo Mchemba amefanya hayo hakuna anayeshtuka, wakati polisi walikuwa wanalinda mkutano huo, je, angefanya hivyo mwanachadema ingekuwaje?
 
Hii imekaa vibaya. Mwigulu haogopi kuwa CDM wanaweza wakalipiza mara 10,000?
 
Yaani hii ni nyepesi hivi??? mbona wana siasa za kitoto na kijinga namna hii??? Dawa ya wapumbavu kama hawa ni hii:- nashauri cdm wachukue bendera za ccm wawavalishe nguruwe kwa operesheni itakayoitwa '' VUA GAMBA VALISHA NGURUWE"
 
Mwigulu kwa kabila letu ni malaya anayezurura mitaani bila aibu kutafuta wanaume. Kwa umbaaaaaaali naona mwelekeo hii na taratibu naanza kuamini maneno ya wahenga kwamba jina la mtu haliji hivihivi. Lazima kuwe na mahusiano fulani kati ya jina na mwenye jina.
 
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images

  • Kwa wenye upeo mdogo kama hao waliovisha mbwa bendera ya Chadema wakifikiri kama tusi kumbe walio wapana katika kufikiri ndio wameenzi vizuri chadema, kwa kuwa mbwa ni mnyama pekee mwenye ukaribu na binadamu.
  • i mbwa ambaye ni mlinzi pekee wa binadamu kati ya wanyama wengine.
  • Ni mbwa pekee mwenye kuenziwa na kushirikishwa katika familia za binadamu kuliko mnyama mwingine ye yote.

NB: Sifa pekee kabisa ya mbwa ni kwamba hata shetani na wenye kutumia nguvu za ibilisi wanamwogopa mbwa kwani hata kama hawataonekana kwa macho lakini harufu yao itagundulika. Ndio maana hutakuta hata mara moja wanaofanya secret services iwe binafsi au serikalini katu hawafugi au kuchangamana na mbwa kwa vile huwaumbua vilivyo. Polisi pekee ambao hufanya mambo yao mwangani ni rafiki na mbwa kwa vile husaidia kufunua vilivyofichika.

Umeshawahi kuona waganga wa kienyeji wenye kujihusisha na mambo ya uchawi au ye yote anayejihisisha na uchawi au secret services wanafuga mbwa?
Jibu ni hapana.Mbwa ni mnyama rafiki wa binadamu na waliofikiri wanafanya kwa kufanya chuki wamepotea, bora watafuti kitu kingine.

Mosi, nianze kwa kukupa heshima kwa tafsiri nzuri kuhusiana na mbwa. Nimependezwa sana na mwelekeo chanya uliouonyesha kuhusiana na suala hili la mbwa kuvishwa bendera ya cdm.

Pili, kwa namna ulivyoeleza nimejikuta napata swali la haraka haraka kwamba kama waislam hawamtaki kabisa mbwa, hii ina maana gani in the context ya maelezo yako hapo juu?
 
Sarafu yetu inaporomoka dhidi ya dola, first class economist yupo busy kubuni mikakati ya kuvisha mbwa bendera ya cdm badala ya kutoa suluhu ya shilingi yetu kuporomoka.
Shame on you Mwigulu. Too low kwa parliamentary matereal kuwa m.ji.nga kiasi hiki.
 
Chadema jifunzeni kuvumilia, hilo ni jambo la kawaida tu tena dogo sana na nitawaona wapuuzi sana kama mkikasirika na kununa ,mnaweza kuwavisha hata njiwa hizo bendera wakazipeperusha Tz nzima.
 
Mosi, nianze kwa kukupa heshima kwa tafsiri nzuri kuhusiana na mbwa. Nimependezwa sana na mwelekeo chanya uliouonyesha kuhusiana na suala hili la mbwa kuvishwa bendera ya cdm.

Pili, kwa namna ulivyoeleza nimejikuta napata swali la haraka haraka kwamba kama waislam hawamtaki kabisa mbwa, hii ina maana gani in the context ya maelezo yako hapo juu?
nadhani mnasahau pia context ya jambo lebyewe. huyo mbwa katumika kama insult zaidi. ni sawa na pamoja n hesgima zote kwa mwanamke lakini ikiambiwa we demu nini unamaind
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom