Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mosi, nianze kwa kukupa heshima kwa tafsiri nzuri kuhusiana na mbwa. Nimependezwa sana na mwelekeo chanya uliouonyesha kuhusiana na suala hili la mbwa kuvishwa bendera ya cdm.

Pili, kwa namna ulivyoeleza nimejikuta napata swali la haraka haraka kwamba kama waislam hawamtaki kabisa mbwa, hii ina maana gani in the context ya maelezo yako hapo juu?

Ukifuata misaafu ambayo chimbuko la misaafu mingi ya dini ni mashariki ya kati utakuta yote inasema vibaya kuhusu mbwa na nguruwe, kama wakumbuka hata Nabii Isa alivyofukuza pepo na kuwaruhusu waingie ndani ya kundi la nguruwe na kuishia nguruwe wote kuzama ziwani.

Lakini hata kama waislamu wana imani kwamba mbwa ni mchafu, lakini wengi wao wanafuga mbwa.

Huko Tabora miaka michache iliyopita nilienda kununua mbwa kwa mfanya biashara mwarabu mtanzania anayeishi huko alikuwa na mbwa wazuri sana tu. Alinipa wa bure kwa maana kwamba mwisilamu hafanyi biashara ya mbwa. Lakini kilichonishangaza hakumshika kabisa ila watumishi wake. Nilijiuliza, iweje afuge mbwa wakati yeye anaona ni wachafu?
 
Hata kama sio Mh Mwigulu aliyemvisha Mbwa bendera, lakini kuruhusu tukio hili ndani ya mkutano wake ni uvunjaji wa sheria. CDM ni chama kilichosajiriwa kwa mujibu wa sheria za Nchi, kitendo cha kumvisha Mbwa bendera ya chama cha upinzani ni kudhalilisha KATIBA YA NCHI.
Kwa kauli yake Mh Mwigulu basi alitakiwa azuiliwe kushiriki shughuli zote za kisiasa for ever. Mwigulu ansema "Vua gwanda valisha mbwa ndiyo operation niliyoianzisha imezinduliwa iramba" k
 
Mwigulu kama amefanya hivi kapotea sana na wala hii siyo siasa ya kistaarabu.. Nimekuwa nikimfatilia Mwigulu kwa namna anavyoendesha siasa yake hafai kuwa mwanasiasa. Anapenda chuki na visasi, hajui kujenga hoja ila anapenda ushabiki..he is insane for sure!!
 
Ukiwa na nyumba ya vioo usianze kurusha mawe.
Hapo hakuna kufunguliwa mashitaka wala nini,
Si unajua tena,Viongozi wa CCM wako juu ya sheria.
Kwa hiyo ni ruksa kuvalisha Mbwa bendera ya chama?
Unajua mbwa wangapi na nguruwe watavaa Tshirt za CCM na bendera zake?
 
Hata kama sio Mh Mwigulu aliyemvisha Mbwa bendera, lakini kuruhusu tukio hili ndani ya mkutano wake ni uvunjaji wa sheria. CDM ni chama kilichosajiriwa kwa mujibu wa sheria za Nchi, kitendo cha kumvisha Mbwa bendera ya chama cha upinzani ni kudhalilisha KATIBA YA NCHI.
Kwa kauli yake Mh Mwigulu basi alitakiwa azuiliwe kushiriki shughuli zote za kisiasa for ever. Mwigulu ansema "Vua gwanda valisha mbwa ndiyo operation niliyoianzisha imezinduliwa iramba" k

Kwangu sionni tatizo kuvishwa mbwa bendera kwani mbwa kwangu ana nafasi kubwa katika ulinzi, ila kwa kumshikisha adabu na kwa kuwa kiutaratibu ni dharau kadiri ya sheria za Tanzania, basi Mwigulu Mchemba ashikishwe adabu kwa kumfikisha kwenye vyombo vya sheria. Afungwe pingu na waandishi wa habari wampige picha.
 
Msipate tabu na uyu mzinzi.kuna ile Picha ya Mbwa alievalishwa Tishert wakati wa uchaguzi mdogo kule Tarime naiweka mda c mrefu mana m2 akimwaga mboga nawe mwaga ugali
 
Chadema jifunzeni kuvumilia, hilo ni jambo la kawaida tu tena dogo sana na nitawaona wapuuzi sana kama mkikasirika na kununa ,mnaweza kuwavisha hata njiwa hizo bendera wakazipeperusha Tz nzima.

Unakumbuka lakini tukio kama hili lilishawahi kutokea kwenye uchaguzi fulani sikumbuki ni jimbo gani, mbwa alikuwa anakatiza mitaani akiwa amevishwa T-shirt ya CCM, unajua kilichofuatia ni nini? Polisi waliwasaka watu wanaodaiwa kuhusika kama vile majambazi. Sasa hapa tunataka kuona same standard ya jeshi la polisi, siyo double standards.
 
Kwangu sionni tatizo kuvishwa mbwa bendera kwani mbwa kwangu ana nafasi kubwa katika ulinzi, ila kwa kumshikisha adabu na kwa kuwa kiutaratibu ni dharau kadiri ya sheria za Tanzania, basi Mwigulu Mchemba ashikishwe adabu kwa kumfikisha kwenye vyombo vya sheria. Afungwe pingu na waandishi wa habari wampige picha.
bora iwe kwako tu... mimi nina tatizo hapo, ni insult na pia kumtesa mbwa
 
Mwigulu siasa za maji taka zitakutoa kwenye game.utafiti wangu mdogo unaonyesha mambo yako mengi ambayo unafanya yanakutambulisha ulivyo....una wivu wa kijinga,sifa za kijinga,unalazimisha fani isiyo yako.Endelea kujipaka pilipili machoni.hilo shimo ulilolichimba utatumbukia soon!
 
Ukifuata misaafu ambayo chimbuko la misaafu mingi ya dini ni mashariki ya kati utakuta yote inasema vibaya kuhusu mbwa na nguruwe, kama wakumbuka hata Nabii Isa alivyofukuza pepo na kuwaruhusu waingie ndani ya kundi la nguruwe na kuishia nguruwe wote kuzama ziwani.

Lakini hata kama waislamu wana imani kwamba mbwa ni mchafu, lakini wengi wao wanafuga mbwa.

Huko Tabora miaka michache iliyopita nilienda kununua mbwa kwa mfanya biashara mwarabu mtanzania anayeishi huko alikuwa na mbwa wazuri sana tu. Alinipa wa bure kwa maana kwamba mwisilamu hafanyi biashara ya mbwa. Lakini kilichonishangaza hakumshika kabisa ila watumishi wake. Nilijiuliza, iweje afuge mbwa wakati yeye anaona ni wachafu?
sio kila mwarabu ni muislamu
 
wauaji wengi huanza na kutesa wanyama.bila shaka mtu wa namna hii ni wa kuchunguzwa.
namuonea huruma mke/girlfriend wake kwa sababu studies zinaonyesha mtu anayenyanyasa wanyama mara nyingi hutesa familia yake.

nawasihi wanachadema kutulia na kundeleza sera , program ya msingi ya m4c ni kufahamisha umma eleimu ya uraia na pia uwajibikaji ndani ya serikali na kujenga chama.nachelea kusema ujinga si sera , na huo ni ushahidi wa ccm kuishiwa waungwana na watu makini wa kukijenga chama chao.waache wafanye upuuzi , lakini kuharibu mali ya chadema ni kosa la jinai, waliohusiaka ni vyema dola ishike mkondo wake.Dr slaa ameendesha leo ni mikutano mingi sana mkoani mororgoro.Na hakuna mahala ambapo kumetokea malalamishi ya kijinga kama haya.huku ni kupungukiwa akili.kunahitajika wote waliofanya hivyo kuchukuliwa hatua.nimeona kuna wazee wamekaa wanamwangali huyo mbwa.hao wote wakamatwe kuhojiwa.viongozi mkoani singida wafuatilie na kupata ukweli halafu waripoti tukio hili polisi.
 
mkiambiwa Mwigulu ana laana na anahusika na mauaji kutokana na akili yake kutokua sawa mnashangaa.... they guy is insane

Hata mie nilitaka kusema hivyo...Lazima mtu wa namna hii anasumbuliwa na laana...!!

Asubiri 2015 ili kichaa chake kipate tiba!!
 
Very shallow and poor thinking! Hivi nani anashindwa kuvalisha mbwa au nguruwe bendera au nembo ya chama au taasisi yoyote pinzani. Kama ingekuwa na tija unadhani Chadema wanashindwa kufanya hivyo hata kwa mbwa au nguruwe elfu moja kwa siku wakitaka kwenye mikutano yao inayoendelea kila kona ya nchi na kushuhudiwa na maelfu ya wananchi? Unadhani kwanini hawafanyi hivyo? Huo muda wa kukaa chini na mbwa, "kumbembeleza" na kumvalisha nguo watautoa wapi? Wana majukumu mazito kuliko low-level kama hizi.

Kama anadhani amepatia, hii itammaliza. Usirudie tena kutoa poor argument kama hii.

lakini muda wa kuchoma moto alama za chama mf bendera na kadi mnao sio?tulia ikuchome vizuri,acha kuweweseka
 
Mwigulu siasa za maji taka zitakutoa kwenye game.utafiti wangu mdogo unaonyesha mambo yako mengi ambayo unafanya yanakutambulisha ulivyo....una wivu wa kijinga,sifa za kijinga,unalazimisha fani isiyo yako.Endelea kujipaka pilipili machoni.hilo shimo ulilolichimba utatumbukia soon!

mwigulu kamata mwizi meeen.chapa hao wachaga fimbo za mgongoni wanyooke
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom