Usiende haraka mkuu,,mpaka hapa hakuna proof kwamba aliyefanya hivo ni Mwigulu,,picha hazimwonyeshi yeye ambao ndo ulikuwa ushahidi saaaaafi. Usiwe provoked upesi, na mpiga picha alitakiwa kumlenga yeye mvalishaji na mbwa wake sasa kapiga mbwa pekee then anatuambia ni Mwigulu
Mie sioni shida maana mbwa wangu jina lake ni ccm!
tafsiri ya mbwa kuvalishwa alama za chama manake hiki chama kinafanya vitendo vinavyostahili kufanywa na mbwa
Moja, mbwa ni mnyama wa heshima sana. Angalia wenzetu kule ulaya wanavyomtumia, mwangalie Obama anavyoishi na mbwa. Angalia mbwa anavyofanya kazi na askari n.k. Sioni tatizo hata kidogo.
simtetei Mwigulu, ila hakuna mahali panaoonesha kuwa mwigulu amehusika na kitendo hiki. Bravo chadema maana hata wanyama wamewakubali
Unapokuwa kwenye nyumba ya vioo usipoge mawe kwenye nuimba ya nyasi, nimeshtushwa sana na kitendo cha bwana mwigulu mchemba kiongozi wa jui kabisa ndani ya safu ya chama chetu kushiriki kumvisha mbwa bendera ya chadema kumbuka huyu bwana na mweka hazina wa chama cheo chake ni kikubwa bahati mbaya cheo chake ni kikubwa kuliko uwezo na akili yake inasikitisha hivi ikitokea dunia nzima inaonyesha mbwa wanavaa bendera ya chama tawala hivi heshima ya rais wetu kimataifa anapokwenda itakuwaje kutokana na mchezo ameouanzisha bwana mwigulu wapinzani hawana cha kupoteza kwa sasa lakini rais atazungukaje kwenye za watu kwa heshima ipi wakati chama anachoongoza kinavalishwa bendera yake mbwa ? CCM amewaloga nani? Akili hekima busara zimeenda wapi?kuna haja ya CCM kujitafakali upya kwa kina inaelekea wapi na ikiwezekana kupanga safu mpua ya uongozi wenye hekima busara maarifa kuelekea uchaguzi wa meaka 2015.[QUOTE/]
Mkuu hii wala isikupe shida. Ni nzuri sana. ni turufu muhimu sana kisiasa kwa Chadema kama wakiitumia vizuri. Na sidhani kama ndani ya Chadema kuna mtu mwenye akili na muda wa "kukaa chini na mbwa" na kumvika nguo. Aftera all, "kabla ya kumvalisha alikuwa anamfanya nini" huyo mbwa? Kuna hoja hapa kwa watu wenye kufikiri! Yaani hii ni nzuri mno; jamaa kaingia mwenyewe.
Tukio likifanyika mbele yake na akashindwa kulikemea hapo hatuhitaji ashike yeye mwenye...wanaanzisha vita ya mawe wakati wanashi kwenye nyumba ya vioo au wanawategemea hao polisi kwanza wenyekiti wao kuna picha kibado za kumzalilisha.. sema nikiziweka hapa ni bani lakini wakinikera zaidi watafurahi...
anageivisha hiyo bendera kwa mbuzi, kondoo au nguruwe ndo angeweza hata kushtakiwa, mbwa ni mlinzi na CDM ni walinzi wa mali za umma, tunamshukuru kwa kuliona hilo.na chadema tutaruhusiwa kufanya ujinga huo mimi nitaanza na picha za kumchafua kikwete..
Sasa na mimi naenda kutengeneza picha ana pigwa mashine!
Nyambav sana hili dude!...
Moja, mbwa ni mnyama wa heshima sana. Angalia wenzetu kule ulaya wanavyomtumia, mwangalie Obama anavyoishi na mbwa. Angalia mbwa anavyofanya kazi na askari n.k. Sioni tatizo hata kidogo.
simtetei Mwigulu, ila hakuna mahali panaoonesha kuwa mwigulu amehusika na kitendo hiki. Bravo chadema maana hata wanyama wamewakubali