Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
Mara nyingi nimekuwa nikisikia na kusoma kwenye majarida mbalimbali ya mahusiano,kuwa wanandoa wanaweza kukaa mwezi mzima bila kupeana haki yao ya ndoa! Mara nyingi chazo kinasemekana ni mwanamke kumnyima mumewe! Kina mama, huwa tatizo ni nini?? Ni kweli mwezi mzima mlale kitanda kimoja,usipate hamu!! Nimetaja wanawake hapo juu, kwani wanaolalamika kunyimwa wengi wao ni wanaume! Tuelezeni tatizo ni nini??