Mwezi mzima bila tendo, ndani ya ndoa!!?

Mwezi mzima bila tendo! Mimi ningeshakufa....................LOL

Nimekupata mkuu!
Hata na mie ningekua kama wewe !
Lakini kama ni hivyo kwa juhudi zetu zote katika kula haya makitu, inakuaje una kabinti kamoja tu? Hapa Jf ?
Au Canta anao nduguze mie labda ndiyo sijawajua ?
 
Hebu muulize mama Ngina anao watoto wangapi...................Achilia mbali wale wa ujanani wakati najifunza haya mambo ya kunaniliu..................LOL
 
Kwa vile mumeo hajakubaka siyo kwamba haumii...Nyie akina mama mkipata dozi moja nzuri mnakuwa kama chatu...mlo mmoja mnataka uwatoshe kwa wiki nzima au zaidi.

Ndiyo maana katika uzee huu nimekuja kuishawishi akili yangu iliyochoka kuwa mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja!!

Given a good time na msosi wa nguvu, mwanamume anaweza kupiga daily kwa mwezi mzima!!

Babu DC!!

Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja :):)....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! :):)...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! :):)

Mhhhhhh!!!...Nafikiri kama ni swala la kubadilisha mapishi waweza tu kununua viungo, na kuamua kupika hicho kingine, si lazima ukale nyumba ya jirani...:)
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa vile mumeo hajakubaka siyo kwamba haumii...Nyie akina mama mkipata dozi moja nzuri mnakuwa kama chatu...mlo mmoja mnataka uwatoshe kwa wiki nzima au zaidi.

Ndiyo maana katika uzee huu nimekuja kuishawishi akili yangu iliyochoka kuwa mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja!!

Given a good time na msosi wa nguvu, mwanamume anaweza kupiga daily kwa mwezi mzima!!

Babu DC!!

Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja :):)....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! :):)...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! :):)

Nimesoma toka kwenye blog inaitwa Wanawakenisisi mama aliyekaa kwenye ndoa yake zaidi ya miaka 20 akizungumzia siri ya mafanikio yao, moja ikiwa kupeana break kwenye suala la sex. Nadhani ina make sense; kila siku kila siku si mtachokana jamani. Someni wenyewe msiseme NK nimetunga:

Sunday, April 15, 2012

From One Woman - To Another....

"Mimi ni mwanamke niliyeolewa, nina watoto wawili na na nipo ndani ya ndoa miaka 20 sasa hivi. Hua inaniuma sana sana kuona jinsi ndoa za siku hizi hazidumu. Yaani watu munatuchangisha, baada ya miezi miwili ndoa ishasambaratika! Je, kosa ni la nani? Mimi kama mimi ningependa kuelezea machache lakini muhimu yaliyoniwezesha kufika hapa..
La kwanza na la muhimu - Sigusi kamwe kamwe simu ya mume wangu! Staki presha.. Yaani hata kama kalewa kalala na simu yake inaita au imeingia sms naigeuza naiweka chini ya mto wake, nalala zangu.
Pili, sometimes kama mwanamke inabidi ua manipulative kidogo. Hua namruhusu mume wangu kwenda out na washkaji zake at least mara moja kila wiki. Ila nikiona inakua too much na anarudi late sana, hua namuagiza vitu tofauti aniletee. Mfano - mishkaki ya nundu (hii lazma iliwe ikiwa ya moto), ice cream na vitu ambavyo akishanunua lazima aviwahishe nyumbani visije haribika.. Akishafika nyumbani hatoweza tena kutoka.
Tatu - At least mara moja kwa mwezi tunakwenda oout for a date, mie na mume wangu tu. Tunakwenda for dinner tukimaliza tunakwenda dancing kidogo kwenye live band. Inakua nakumbukia wakatui uuulleee alipokua ananitongoza. It's a great feeling.
Nne - Sio kua napata kipato kikubwa sanaaa but mie na my mume tulifungua account ya malengo. Hii tunakua tunaingiza hela tu, hatutoi kamwe. Hela hizi hutuwezesha sisi kwenda vacation na family yetu mara moja kila mwaka. Hua tunachagua sehemu ya kwenda kulingana na amount ya hela iliyopo kwenye account hiyo kwa wakati huo.
Tano - Kuna wakati tuna abstain kufamya tendo la ndoa kwa muda. Inaweza ikawa mwezi mmoja hadi mitatu. Hii inasaidia kuongea ladha ya mapenzi wakati tunaporudi katika maisha ya kawaida.
Sita - Hua namnunulia vijizawadi vidogo vidogo. Naweza nikamnunulia cuff links, socks, viatu, tai, after shave, vest, mara simu, au laptop.. This way anajua kua namuwaza kila wakati.
Saba - Family time - hii hua tunafanya kila jumapili. Tunaweza kuamua tukampa dada off siku hiyo. Sisi kama family tutafagia, kufua, kupika - kisha tutakaa pamoja na kula na baada ya hapo tukakaa nje kwenye garden na kupiga story with drinks. Mara nyingine tunakwenda Bagamoyo au Kigamboni na kufurahi tu na family. Kuna namna nyingi to spend time na family. Hua nazibadilisha badilisha ili wasiboreke.
Anyway haya ni machache tu...
Nakutakia siku njema.."
Mrs K

Hapo kwenye bold, ngumu kuamini kwa kweli! Mhhhh, wako very unique hao!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
kuna mentality kwamba NDOA = NGONO. Hapana. Kuna mambo mengi sana ya kufanya ndani ya ndoa. Suspension za ngono hapa na pale si ajabu. Vinginevyo maisha yangekuwa magumu zaidi.

hivi ktk ndoa inaitwa Ngono?yaani mi na mke wangu tunafanya ngono?angalia kijana unatutukana watu na heshima zetu!
 
Hiyo mbona inawezekana!. Hasa wanandoa wenye majukumu mengi, wanaofanya kazi ngumu na hata wale wanaokuwa kazini kutwa nzima na kujikuta wanarudi nyumbani usiku kila siku. Mazingira ya kazi zao yanaweza kulichunia hilo tendo. Pia wanandoa waliohishi pamoja miaka mingi nao huweza kukutana na hali hiyo kwani huwa wamezoeana sana. Vile vile kitaalam wapo watu wengine ambao huwa na hormone kidodo mwilini zile zinazochochea hamu ya hilo tendo (Progesterone/ Oestrogen) hivyo kuweza kuwafanya kutolifurahia hilo tendo.
 
Hapo kwenye bold, ngumu kuamini kwa kweli! Mhhhh, wako very unique hao!

Neno hilo Madame KH.....Miezi mitatu huku mnalala kitanda kimoja!!! Dah! haingii akilini hata kidogo....unaweza kubaka mtu akiwa usingizini LOL!

Last edited by a moderator:
Kwa vile mumeo hajakubaka siyo kwamba haumii...Nyie akina mama mkipata dozi moja nzuri mnakuwa kama chatu...mlo mmoja mnataka uwatoshe kwa wiki nzima au zaidi.

Ndiyo maana katika uzee huu nimekuja kuishawishi akili yangu iliyochoka kuwa mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja!!

Given a good time na msosi wa nguvu, mwanamume anaweza kupiga daily kwa mwezi mzima!!

Babu DC!!

Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja :):)....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! :):)...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! :):)

Neno hilo Madame KH.....Miezi mitatu huku mnalala kitanda kimoja!!! Dah! haingii akilini hata kidogo....unaweza kubaka mtu akiwa usingizini LOL!

Umeona ee BAK...mhhhh...mambo mengine magumu kweli kuamini!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
ama kweli babu dc unazeeka vibaya! Hiyo nadharia kuwa mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mke mmoja unaitoa wapi? Kama siyo kuendekeza vijumba vidogo2 na kuongeza tatizo! Adam alipewa mke mmoja Eva, mengine ni usanii tu.

Hebu fuatilia vizuri...hata siku moja sijawahi kuwa mshabikiri wa nyumba ndogo...

Nilichoongelea ni matakwa ya bailojia...Kama hukubaliani na mie basi toa maoni yako tuyasikie!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom