nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
kama kavaa viatu... utavionaje!!
Hujui kama staili yao siku hizi wanavaa viatu vya wazi
kama kavaa viatu... utavionaje!!
mie huvutiwa na maskio
yakiwa popo basi mie hoi
naimagine umeme ukikatika ananipepea kama sinia.
mie nyuma akipigwa pasi basi amenivuta
we ndo umekosea kabisa, hebu jaribu tena!
Hehehehehe! Mi pua. Pua ngumi ndio zinanivutia.
nachizika kabisa.. na lazima nimsalimie... hata kama ni kanisani...
Hehehehehe! Mi pua. Pua ngumi ndio zinanivutia.
mie nyuma akipigwa pasi basi amenivuta
mie huvutiwa na maskio
yakiwa popo basi mie hoi
naimagine umeme ukikatika ananipepea kama sinia.
mie huvutiwa na maskio
yakiwa popo basi mie hoi
naimagine umeme ukikatika ananipepea kama sinia.
Sumai we acha tu.. kuna vitu vinaitwa..."CATCHY"...