Mwenzenu macho yananimaliza kabisaaa....

Mimi napenda mwanamke anaeshambulia jukwaa kama wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi kwenye sita kwa sita..
 
me napenda maeneo ya kati pale kitu tandam(mpododo) nikiona limenona..yaan huyu athumani kichwa wazi lazma acmame!
 
mie huvutiwa na maskio
yakiwa popo basi mie hoi

naimagine umeme ukikatika ananipepea kama sinia.

Kongosho...watu wanakupenda...
Kwa muda tangu niwe hapa..nasema ww ndo una mvuto kuliko wote...
Nini siri ya mafanikio...?
 
mie ni vidole ...yaani maana atakuwa ananipapasa so loh vidole vikiwa vizuri basi naweza fika ata kabla ya game
 
....mifupa kwa waist..... hold n twist her whichever side you want... gud....
 
mie ni vidole ...yaani maana atakuwa ananipapasa so loh vidole vikiwa vizuri basi naweza fika ata kabla ya game

ukafika hata kabla ya Game.... !! Mbona hatari... amfikishe nani mwenzio sasa..
 
eeh, unajua ndugu mtangazaji

nimewasaidia kupata vocha za intanet

waliokuwa na visimu vya nokia kitochi nimewawezesha kupata whiteberry

sasa hivi misongamano ya wanajf kwenda internet kefu imepungua.

Sasa hii imepelekea kongosho zao kutoa insulin ya upendo kwangu.
Kongosho...watu wanakupenda...
Kwa muda tangu niwe hapa..nasema ww ndo una mvuto kuliko wote...
Nini siri ya mafanikio...?
 
eeh, unajua ndugu mtangazaji

nimewasaidia kupata vocha za intanet

waliokuwa na visimu vya nokia kitochi nimewawezesha kupata whiteberry

sasa hivi misongamano ya wanajf kwenda internet kefu imepungua.

Sasa hii imepelekea kongosho zao kutoa insulin ya upendo kwangu.

.... Ok.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom