Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

RIP Mwenyekiti. Lakini tuwe waangalifu Kifo chake kinaweza kuwa kimesababishwa na maisha yake binafsi sio vema kuvuta hisia za moja kwa moja kuwa siasa ndiyo imepelekea kifo chake
 
Ni wazi magamba walianzisha tena vyama vingi kwa shingo upande,hawa ccm ni mafia kabisa,wanacharanga watu mapnga,wajue haisaidii,moto wa ukombozi uliowashwa hautazimika kamwe,pipoooooooooooooooooooooos poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.[MENTION],[/MENTION]
 
tunapoelekea ni PAZURI, mmesahau kale kausemi, Amani haipatikani ila kwa........

Nakakumbuka,ila kama umekachakachua vile, nadhani kanasema hivi, haki haipatikani ila kwa ncha ya.......... R.I.P Mwenyekiti.
 
Imefikia hatua mbaya sana!
Hii kifo inatatiza sana
R.I.P. Mbwambo
 
Juzi wameuwa vijana wanne, leo mwenyekiti!
Wana CDM wa Arumeru mashariki mnasubiri nini kuanzisha vita!
Kwani marungu na mapanga, mikuki havipatikani huko!
Msisubiri adi wamagamba wawamalize!
 
Juzi wameuwa vijana wanne, leo mwenyekiti!
Wana CDM wa Arumeru mashariki mnasubiri nini kuanzisha vita!
Kwani marungu na mapanga, mikuki havipatikani huko!
Msisubiri adi wamagamba wawamalize!
Acha kuchochea mauaji.
 
Natoa pole kwa familia ya marehemu,ni habari ya kusikitisha sana,mazingira ya kifo yana utata mkubwa,amechinjwa na wakaacha piki piki,wakachukua simu tu.
Naiona picha ya yaliyotokea Igunga,baada ya uchaguzi.Ole wa vyombo ya dola visipochukua hatua mapema.Hatuwezi kuendelea kuona mauaji haya ya kihuni na kukaa kimya.
 
Alikuwa kiongozi wa mikakati ya kutoa taarifa za rushwa makanisani na pia aliongoza jeshi la pikipiki la chadema
Kwa habari zilizo nifikia ni kwamba Mwenyekiti Mbwambo ndio aliyeongoza vuguvugu la kukamata kura fake kwa baadhi ya viongozi wa CCM sasa inawezekana kabisa kwamba hiyo ni hujuma ya kisiasa R. I. P Mwambo.
 
Mungt ndo atawalipa waliofanya hicho kitendo na sisi kama wana wa Mungu hatutalipiza bali tutamkabidhi yeye ndiyo mwamuzi wa yote. RIP mwenyekiti
 
aah ndugu vip tena
kwan kama kiumbe kimetoka uhai either kwa kuuliwa kinyama,au kifo cha kawaida kisicho cha unyama kinaondoa uhalali wa mungu muumba utoaji wake na utwaaji wake ha roho ya kiumbe chake?
Hata kama kafariki kwa kuchinjwa ni kweli mungu alitoa na mungu ametwaa na jina lake lihimidiwe,na hukumu ataenda toa yeye muumba...!!

MUNGU hausiki na kifo cha aina yeyote ile,yeye alituumba tuishi milele ila Shetani ndo alidanganya mwanamke kuwa hatokufa hakika naye mwanamke akakiuka sharti alilopewa na mwanamume nae mwanamume akakiuka sharti alilopewa na MUNGU na hapo ndo kifo kikaanza kufanya kazi so anaemiliki kifo ni SHETANI NA SI MUNGU KWANI HAKUTUUMBA ILI TUFE BALI TUISHI MILELE.Ufunuo 21;4.
 
Siasa za visasi zimeshaingia Tanzania.
Sipati picha kama aliyeuwawa angekuwa kiongozi wa Magamba wangepachimba Usa river na kuongea sana.
Lakini kwa kiongozi wa upinzani ni business as usual.
 
Viongozi wangu wa CDM sasa umefika wakati mtoe tamko la sisi wanachama tuanze kuwachinja, Wabunge, Madiwani, Wenyekiti na Wajumbe wa ccm, kwani sisi CDM tupo wengi tutawamaliza hao magamba in short time.
Viongozi wetu toeni kauli tuingie mitaani.

Hakuna haja ya kusubiri tamko, magamba yanauwa bila tamko, na nguvu ya umma ifanye hivyo hivyo. Ukilibahatisha gamba limeingia kwenye 18 limalizie!
 
Viongozi wangu wa CDM sasa umefika wakati mtoe tamko la sisi wanachama tuanze kuwachinja, Wabunge, Madiwani, Wenyekiti na Wajumbe wa ccm, kwani sisi CDM tupo wengi tutawamaliza hao magamba in short time.
Viongozi wetu toeni kauli tuingie mitaani.

Hiyo ni dalili ya woga na uchonganishi; kwani kama kweli imekuuma ya nini uhimize tamko la viongozi; kwani we huna maamuzi,Songa front kafanye revange kiongozi waeza kuwa mwenyewe tafuta wafuasi"
 
Akiongea kupitia radio moja hapa A town MB mteule wa Arumeru Mashariki amesema haya mauaji ya kusikitisha hakika hayakubaliki kamwe!
 
viongozi wangu wa cdm sasa umefika wakati mtoe tamko la sisi wanachama tuanze kuwachinja, wabunge, madiwani, wenyekiti na wajumbe wa ccm, kwani sisi cdm tupo wengi tutawamaliza hao magamba in short time. Viongozi wetu toeni kauli tuingie mitaani.
najua tumesikitishwa na jambo hili, ila huko unakokuwaza ni mbali,wakati wake bado,ukifika tutakujulisha!
 
Back
Top Bottom