Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

weka piacha yake tumuone..R.I.P chairman

Unataka Uone picha yake umpelekee mkeo au magamba wenzako? Usiwe kama Tomaso mpaka aguse ndio Uamini yasemwayo au?

Tunalaani visasi vya uchaguzi na bado yana mwisho haya na nchi hii watakaoleta vita ni Magamba kwani huwa hawakubali kushindwa daima.

Aluta Continua.
 
CCM kama wanataka kuchinjana waseme! Walianza kuua kule Igunga baadae wakawacharaza mapanga wabunge wetu kule Mwanza na leo tena wameua kiongozi wetu! Sierra Leone walianza hivi hivi. Kama wanataka watufikishe huko, sisi tutawafikisha zaidi ya hapo maana umafya kwetu ni zaidi ya siasa. Tunawapa muda waendelee na ujinga wao, siku tukianza kulipiza kisasi nchi haitatawalika.

Punguza munkari tujue kwanza kwa nini ameuwawa
 
Wana JF,
Taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu kutoka usa river ni kwamba Mwenyekiti wa CDM wa mji mdogo wa usa river ndugu Mbwambo ameuwawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana usiku huu.
Jamani nchi hii tunaipeleka wapi?

source please
 
This is not Tanzania I used to know, no matter what, Its not the right time to start killing each other because of politics. Na kama hapa ndipo tulipofika, basi, hali ni mbaya na si vibaya nchi isitawalike hadi zijulikane mbivu na mbichi. Haiwezekani mambo yawe yanatokea halalu hakuna habari za uchunguzi zozote zinazofanyika. Hili linathibisha wazi kuwa Usalama wa Taifa wako nyuma ya kila kitu kiovu kinachofanyika katika nchi hii dhidi ya upinzani. Now We have to decide on what to do. Munda wa kusubiri huruma za CCM umepita, we have to walk with our own feets and fight for our freedom. I dare to say that ITS TOO MUCH, WE HAVE TO TAKE IMPORTANT STEP TOWARDS WHAT IS GOING ON IN OUR COUNTRY.....

R. I . P MWENYEKITI MBWAMBO....Its so sad....more that pains.....I can't explain.....
 
Wana JF,
Taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu kutoka usa river ni kwamba Mwenyekiti wa CDM wa mji mdogo wa usa river ndugu Mbwambo ameuwawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana usiku huu.
Jamani nchi hii tunaipeleka wapi?

R.I.P Mbwambo mwenyekiti wetu,But Mungu hebu ukaonekane sasa katika unyama huu mkono na macho yako yakawaweke wazi wahusika wote kwani hii ni kazi ya kishetani nawalaani katika jina la Yesu,AMENI!
 
Mbona wengine wale 4 walikuwa Arumeru, huyu pia Arumeru (Usa iko Arumeru). Lazima kuna mkono mchafu wa Chama fulani
 
Bahati mbaya sina picha yake.Ila kuna umuhimu wa chama kuangalia swala la ulinzi wa viongozi wake hasa sehemu ambazo siasa zake ni tete.
Sehemu kama Mwanza na Arusha inabidi viongozi wa CDM walindwe.

asante kwa mawazo mazur cdm tuangalie swala hli
 
Poleni sana. Tukio hili inabidi lisiusishwe na siasa. Chamuhimu ni uchunguzi wa kina ufanywe.

R.I.P Mbwambo!
 
CCM kama wanataka kuchinjana waseme! Walianza kuua kule Igunga baadae wakawacharaza mapanga wabunge wetu kule Mwanza na leo tena wameua kiongozi wetu! Sierra Leone walianza hivi hivi. Kama wanataka watufikishe huko, sisi tutawafikisha zaidi ya hapo maana umafya kwetu ni zaidi ya siasa. Tunawapa muda waendelee na ujinga wao, siku tukianza kulipiza kisasi nchi haitatawalika.
Mbona sikuelewi mkuu! Yaani kwako wewe kifo cha mtu mmoja si kitu kwako? Kwamba unawapa muda waendelee kuua tu? Nooooooooo!!!! we should take action right now! An injury to one is an injury to all!!!Usimpe muuaji nafasi ya kuendelea kuua! kifo cha mtu mmoja hakina tofauti na vifo 100 wote ni uhai, huwezi kusema uhai wa watu 100 ni bora kuliko wa mtu mmoja tuchukue hatua kabla ya wengine zaidi kufa!!
 
CCM kama wanataka kuchinjana waseme! Walianza kuua kule Igunga baadae wakawacharaza mapanga wabunge wetu kule Mwanza na leo tena wameua kiongozi wetu! Sierra Leone walianza hivi hivi. Kama wanataka watufikishe huko, sisi tutawafikisha zaidi ya hapo maana umafya kwetu ni zaidi ya siasa. Tunawapa muda waendelee na ujinga wao, siku tukianza kulipiza kisasi nchi haitatawalika.
Acha upunguani. Una evidence gani kuwa CCM inahusika. Subiri kwanza uchunguzi ufanyike. Acha kubwatuka!!
 
Hivi uchunguzi gani utafanyika halafu hao polisi waseme CCM wameusika.Cha muhimu tuombe mungu mauaji yasije yakawa ni ya kisiasa hapo itakuwa mbaya zaidi.
 
Poleni sana wanafamilia wa aliekuwa Mwenyekiti wa CDM usa River, poleni sana viongozi na wanachadema wote popote mlipo kwa kupoteza mmoja wa makamanda na wapambanaji wenu, kwa kweli ni pigo ambalo hatuna budi kulipokea.

sote kama wananchi tunapaswa kutokuwa na haraka ya kuamua kuwa kifo hiki kimesababishwa kisiasa. tusubiri uchunguzi ufanyike, iwe wa kipolosi au hata kwa kutumia njia nyengine kujiridhisha ni sababu zipi zilizopelekea mauaji hayo.

sio kila mwanasiasa kifo chake husababishwa na siasa, mwanasiasa ni mwanajamii pia, kwa hio kuna mengi kwenye jamii hushiriki, ikiwemo biashara, mapenzi (halali na haramu), ugomvi na chuki za kifamilia na kijamii. sasa tukianza kuripuka na kunyweshana sumu tunaliharibu taifa letu

mwisho nnamtakia Marehemu mapumziko mema huko aendako
 
R. I. P mwenyekiti wetu, polisi ccm, mtakaa kimyaa! Dr slaa akiwahimiza mfanye uchunguzi na kuwakamata wauaji haraka. Povu litawatoka midomoni na kutamka, KWA MUJIBU WA KATIBA, SHERIA NA KANUNI, tutakukamata kwa kuliamrisha jeshi la POLISI. We swear to God, your days are numbered.
 
Serikali inapaswa kujithathimini kama inaweza kulinda wananchi wake na kama haiwezi ijiengue chadema iingie Madarakani kupigania haki ya kila mwananchi bila kubagua tabaka kama ifanyavyo CCM

click www.twitter.com/mwitaz
 
Last edited by a moderator:
Loo. Sijui nchi hii itatibiwa na nini. Kama mtu huyo kauawa kwa sababu za kisiasa basi tumeshafika pabaya sana!
 
Back
Top Bottom