Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

Hawa watakuwa ni Plain cloth Police au Usalama wa Taifa wanataka wananchi na wanachama wa chadema wachukie chama nadhani Nassari aitishe mkutano wa hadhara kila kata aongee na wananchi watafute ufumbuzi kwa pamoja kwa sababu wanataka wananchi waanzishe vita halafu wasema chadema ni chama cha mauaji <br>Hulee usalama wa taifa mumeshindwa kuzuia majambazi na wezi wa rasilimali za nchi twiga wanasafirishwa mbele ya macho yenu tembo wanalishwa sumu wawekezaji wanaua wananchi kwa sumu nyie munaangalia tu halafu sasa munataka kupokonya amani ya wana arumeru hamfai kabisa
 

CCM kama wanataka kuchinjana waseme! Walianza kuua kule Igunga baadae wakawacharaza mapanga wabunge wetu kule Mwanza na leo tena wameua kiongozi wetu! Sierra Leone walianza hivi hivi. Kama wanataka watufikishe huko, sisi tutawafikisha zaidi ya hapo maana umafya kwetu ni zaidi ya siasa. Tunawapa muda waendelee na ujinga wao, siku tukianza kulipiza kisasi nchi haitatawalika.
Umesahau na wale vijana watano waliouawa kule Arumeru hivi karibuni
 

CCM kama wanataka kuchinjana waseme! Walianza kuua kule Igunga baadae wakawacharaza mapanga wabunge wetu kule Mwanza na leo tena wameua kiongozi wetu! Sierra Leone walianza hivi hivi. Kama wanataka watufikishe huko, sisi tutawafikisha zaidi ya hapo maana umafya kwetu ni zaidi ya siasa. Tunawapa muda waendelee na ujinga wao, siku tukianza kulipiza kisasi nchi haitatawalika.

Hadi achinjwe nani ndio muamke?
OMG,hivi mtu unachinja mwenzako kama kuku kabisa yani dah.
 
its not aceptable, jesh la polis watupe taarifa za kueleweka upesi

Polisi wote wapo kuchunguza kifo cha kanumba,wakimaliza atakua amekufa
mbunge mwingine na watahamia huko kuchunguza,.....damn
 
Habari punde(terrific breaking news) ya kushtua . Kama chanzo ni siasa, hii itakuwa mbegu sumu kabisa inayopandwa ni hicho chama mpasuko. Poleni wafiwa.
 
RIP Mbwambo!Mungu ametoa Mungu ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe!wote waliyofanya huo unyama kwasababu yoyote ile Malipo ni hapa hapa Duniani.

Mbona inasemwa hapa wazi kwamba 'kauwawa kinyama'. Sasa haya mambo ya 'Mungu ametoa,Mungu ametwaa' yanatoka wapi? Tujifunze kutomsingizia mungu mambo yetu ya oyo ovyo!
 
dah! Poleni ndugu zangu msiba huu ni wetu sis wapenda mabdiliko, hasira ya mungu iwe juu yao waliofanya unyama huu.
 
tungoje uchunguzi tujue chanzo cha kifo
yawezekana mambo ya itikadi,biashara,madaraka nk hakuna ajuae
tusilaumu magamba mapema sababu hatuna ushahidi
 
Ccm hawajui athari za kufanya hivi ipo siku amani itatoweka kwa mfano chadema wakisema kulipiza kisasi unafikiri kuna mtu atabaki salama?shame on them
 
Wana JF,
Taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu kutoka usa river ni kwamba Mwenyekiti wa CDM wa mji mdogo wa usa river ndugu Mbwambo ameuwawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana usiku huu.
Jamani nchi hii tunaipeleka wapi?
mkuu kama una sababu za kifo chake naomba uzimwage hapa-then nitarudi tena kutoa salamu kwa hao culprits
 
Mbona inasemwa hapa wazi kwamba 'kauwawa kinyama'. Sasa haya mambo ya 'Mungu ametoa,Mungu ametwaa' yanatoka wapi? Tujifunze kutomsingizia mungu mambo yetu ya oyo ovyo!
aah ndugu vip tena
kwan kama kiumbe kimetoka uhai either kwa kuuliwa kinyama,au kifo cha kawaida kisicho cha unyama kinaondoa uhalali wa mungu muumba utoaji wake na utwaaji wake ha roho ya kiumbe chake?
Hata kama kafariki kwa kuchinjwa ni kweli mungu alitoa na mungu ametwaa na jina lake lihimidiwe,na hukumu ataenda toa yeye muumba...!!
 
Kutokana na vuguvugu la mabadilliko ya kisiasa yanayoendelea nchini (M4C) na hali tete ya kisiasa mkoani Arusha you can yourself connect the dot kujua sababu ya kifo chake.
 
Back
Top Bottom